FEATURE
on Dec 5, 2023
600 views 3 mins

Wizara ya afya na Baraza la Tiba Asili Nimli na Taasisi ya utafiti dawa ASILIA limeombwa kuongeza nguvu Katika vifaa TIba Ili kufanya tafiti za TIba Kwa kina Hayo yamesemwa Leo 04,2023 Mkurugenzi mkuu wa Islaam Islamic foundation Alhaj Dkt.Sule Amesema Tanzania tunahuwaba wa kufanyia tafiti Kwa wakati mwingine huduma za Tiba Asili zipo Chini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 5, 2023
336 views 2 mins

Na Said Said, WMJJWM- Dodoma. Baraza la Taifa la Wazee limeaswa kushirikiana na Serikali pamoja na wadau mbalimbali katika kurekebisha na kusimamia maadili mema ya Taifa. Rai hiyo imetolewa Oktoba 04, 2023 na Kamishna Msaidizi wa Ustawi wa Jamii, Tulo Masanja alipomwakilisha Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Dkt. Dorothy Gwajima, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 5, 2023
267 views 2 mins

Chama Cha Mapinduzi (CCM), kupitia kwa Naibu Katibu Mkuu wa CCM, Bara, Ndugu Anamringi Macha, kimekabidhi msaada wa vitu vyenye thamani ya Tsh. 10 milioni, ‘kuwashika mkono’ waathirika wa maafa yaliyosababishwa na mafuriko ya maji na matope, huko wilayani Hanang. Akikabidhi msaada huo kwa waathirika hao mbele ya Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 5, 2023
406 views 3 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema idadi ya watu waliokufa kutokana na maporomoko ya udongo wilayani Hanang, mkoani Manyara imefikia 63 na majeruhi 116. “Kati ya waliofariki wanaume ni 23 na wanawake ni 40. Miongoni mwao, watu wazima ni 40 na watoto ni 23. Kwa watu wazima, wanaume ni 14 na wanawake ni 26; kwa watoto, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 4, 2023
287 views 2 mins

Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari nchini (TPA) imeingia mkataba wa usanifu na ujenzi wa uendelezaji wa Bandari ya Mbamba bay iliyopo wilaya ya Nyasa mkoani Ruvuma, mradi utakao gharimu kiasi cha shilingi bilioni 75.8 ambapo unatarajiwa kukamilika ndani ya miezi 24. Akizungumza na wananchi katika hafla ya utiaji saini mkataba huo, Waziri wa Uchukuzi Prof. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 4, 2023
430 views 4 secs

Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan , ametoea maelekezo yafuatayo. 1 Amuelekeza Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa kuwa Serikali igharamie mazishi ya wote waliopoteza maisha kutokana na mvua kubwa iliyotokea na mafuriko katika Halmashauri ya Wilaya ya Hanang. 2 Majeruhi wote wapatiwe matibabu yote yanayostahili kwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 4, 2023
288 views 49 secs

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Ndg. Abdulrahman Kinana, amewahakikishia wananchi Wilayani Hanang Mkoa wa Manyara hususani waliokumbwa na janga la mafuriko, kwamba maelekezo ya Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, yatatekelezwa kikamilifu. Cde. Kinana ameyasema hayo leo tarehe 4 Desemba, […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 4, 2023
447 views 38 secs

> Mwenezi Makonda awasihi Wananchi kufuata maelekezo ya Serikali. > Awaomba Viongozi wa Dini kuendelea kuliombea Taifa ili mvua kuwa sehemu ya Baraka ” Wanachama wote wa Chama Cha Mapinduzi wanaungana na Mwenyekiti wetu na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan, kutoa pole kwa ndugu zetu wa Mkoa wa Manyara […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 4, 2023
409 views 2 mins

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu) Mhe. Jenista J. Mhagama, Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa, pamoja na Wakuu wa Vyombo vya ulinzi na Usalama wamefika katika kijiji cha Gendabi kata ya Gendambi Wilaya ya Hanang mkoani Manyara eneo yalipotokea mafuriko ambayo yamesababisha vifo vya watu, majeruhi na uharibifu mkubwa wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 3, 2023
256 views 5 mins

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema kazi kubwa imefanyika katika kipindi cha awamu hii ya uongozi kwa kutekeleza mikakati na sera zinazolenga kuondoa ubaguzi na kukuza usawa wa kijinsia. Ametoa kauli hiyo leo (Jumapili, Desemba 3, 2023) wakati akizungumza na maelfu ya wananchi waliohudhuria kilele cha maadhimisho ya tatu ya kumbukumbu ya kumuenzi mwanasiasa mkongwe, Bibi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...