FEATURE
on Dec 28, 2023
349 views 17 secs

Na, Brown Jonas – WUSM Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameridhia ushauri wa kuubadili jina uwanja wa Amaan na kuitwa “New Amaan Sports Complex” wakati wa uzinduzi wa awamu ya tatu ya Uwanja huo uliofanyika Desemba 27, 20203 kisiwani humo Rais Mwinyi ameridhia ushauri huo uliotolewa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 27, 2023
401 views 9 secs

Na Mwandishi wetu.Babati HABARI Mahakama ya wilaya ya Babati imeifutilia mbali kesi ya ukatili iliyokuwa inamkabili mbunge wa jimbo la Babati Mjini, Pauline Gekul kuhusu tuhuma za unyanyasaji kwa kijana Hashim Ally. Uamuzi huo umetolewa leo Desemba 27, 2023, na Hakimu Mfawidhi wa Mahakama ya wilaya Babati, Victor Kimario na kusema ameifuta baada ya Mkurugenzi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 27, 2023
469 views 4 mins

MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya ya Tanzania (DCEA) imekatama kilogramu 3,182 za dawa za kulevya aina ya heroin na methamphetamine ambazo zilikuwa zimefungashwa kwenye vifungashio vya bidhaa zenye chapa za kahawa na majani ya chai. Pia imewakamata watu saba, wawili kati yao wana asili ya Asia wanaodaiwa kuwa ni miongoni mwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 25, 2023
322 views 2 mins

Na Allan Kitwe, Tabora KANISA la Tanzania Assemblies of God-Kitete Christian Centre (KCC) la mjini Tabora limempongeza Rais wa awamu ya 6 Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuendelea kudumisha amani, utulivu na mshikamano wa Watanzania wote. Akitoa salamu za krismas katika ibada iliyofanyika leo kanisani hapo Askofu Mstaafu wa Kanisa la TAG Jimbo la Tabora […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 25, 2023
357 views 27 secs

Heri ya sikukuu ya christimas msomaji wa wa wamachinga gazeti karibu kupitia vichwa vya habari katika magazeti ya leo ya Tanzania yalio andikwa mbele na nyuma Pia usisahau kuangalia vipindi bomba Katika YouTube yetu ya machinga Tv na Instagram yetu ya machinga habari kemkem tutakuletea kipindi hiki Cha msimu wa sikukuu na mwaka mpya

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 24, 2023
398 views 4 mins

Na Mwandishi wetu, Hanang Waathirka wa maafa yaliyotokea wilayani Hanang mkoa wa Manyara, Desemba 3, mwaka huu, wameendelea kunuifaika na misaada mbalimbali ya kibinadamu iliyotolewa na wadau pamoja na serikali, baada ya serikali kuongeza kiwango cha ugawaji wa misaada kwa kaya kutokana na ongezeko la misaada inayoendelea kupokelewa kutoka kwa wadau. Awali, serikali ilikuwa ikiwagawia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 24, 2023
303 views 7 secs

Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara, Abdulrahman Kinana, amezihimiza taasisi za kijamii kuweka mkazo katika elimu ya ufundi na ujasiriamali, ili kupata mwarobaini wa tatizo la ajira na kuzalisha wataalamu wengi zaidi wa fani mbalimbali. Kinana ameyasema hayo leo, Desemba 24, 2023, jijini Arusha, alipokuwa mgeni rasmi katika Mkutano Mkuu wa 10 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 24, 2023
398 views 2 mins

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Ndugu Paul Christian Makonda ameendelea kutoa wito kwa Viongozi wa Dini mbalimbali nchini, kuendelea na moyo wa imani wa kuiweka katika maombi nchi yetu, pamoja na Kiongozi Mkuu wake, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 22, 2023
458 views 30 secs

Awakumbusha waliotoa ahadi zao kuzikamilisha ili kuendelea kuiwezesha Taasisi ya Professor Jay Foundation_ Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , ametimiza ahadi yake ya kumchangia Tsh Milioni 10 kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi na Mwanamuziki wa (HipHop) Nchini Bw. Joseph Haule Maarufu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Dec 21, 2023
517 views 2 mins

Taasisi ya Mtetezi wa Mama hii leo imesema kuwa inatarajia kuungana na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa January 27/2024 kwa namna ya kipekee ikiwemo kutoa misaada mbalimbali kwa wahitaji. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mohammed Chande amesema kazi kubwa ya Taasisi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...