FEATURE
on Jan 11, 2024
287 views 4 mins

Na. Beatus Maganja Kamati ya kudumu ya Bunge, Ardhi, Maliasili na Utalii imeeleza kuridhishwa kwake na utekelezaji wa miradi ya mpango wa Taifa wa maendeleo kwa ustawi wa Taifa na mapambano dhidi ya UVIKO – 19 iliyotekelezwa na Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) ndani ya Pori la Akiba Wami Mbiki Mkoani Pwani. Akizungumza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 10, 2024
411 views 7 mins

๐Ÿ“Œ *Ni wa mauziano ya Gesi Asilia na ujenzi wa miundombinu midogo ya LNG* ๐Ÿ“Œ *Kuwezesha upatikanaji wa Gesi Asilia katika maeneo yote nchini* ๐Ÿ“Œ *Asema Rais, Dkt. Samia anafuatilia kwa karibu miradi ya Nishati* ๐Ÿ“Œ *Nchi kuwa na nishati kutoka vyanzo mchanganyiko (Energy mix)* Na Madina Mohammed ZANZIBAR Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 10, 2024
336 views 2 mins

Dar Es Salaam Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amekagua maendeleo ya Ujenzi wa Miundombinu ya Kupimia Mafuta yanayoingia na kutoka nchini Pamoja na Ujenzi wa Mapipa mapya ya Kuhifadhi Mafuta Bandarini. Mhe. Kapinga amefanya ziara hiyo Tarehe 9, Januari 2024, ikiwa ni kufuatilia maelekezo ya Mhe. Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 9, 2024
297 views 2 mins

*TARURA YAIFUNGUA MSOMERA Handeni Jumla ya Km.186 za barabara zimekamilika kuchongwa na kilometa 24 zimewekewa changarawe kati ya Km. 986 za mtandao wa barabara katika Kijiji cha Msomera, wilayani Handeni. Hayo yameelezwa na Meneja wa Wilaya ya Handeni Mhandisi Judica Makyao wakati ya ziara ya Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff katika kijiji cha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 9, 2024
379 views 2 mins

Shirika la Reli Tanzania limeendelea na zoezi la ulipaji fidia kwa wananchi ambao ardhi zao zimetwaliwa kupisha ujenzi wa miundombinu ya Reli ya Kimataifa ya SGR katika kipande cha tatu Makutupora -Tabora hivi karibuni ,Januari, 2024. Katika zoezi hilo la ulipaji fidia takribani wananchi 70 kutoka katika vijiji vya Azimio, Nyahua, Kimungi, Kazaroho, Genge 8 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 8, 2024
327 views 4 mins

*๐Ÿ“ŒAwapongeza Rais Dkt. Samia na Dkt. Mwinyi kwa maono na miongozo yao kutekeleza Miradi ya kimkakati* *๐Ÿ“ŒAipongeza Wizara ya Maji, Nishati na Madini kupitia ZAWA kwa kukamilisha Jengo lenye ubora na hadhi ya juu* *๐Ÿ“ŒAtaka ZAWA kutoa huduma bora* Zanzibar Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko, amefungua Jengo la Afisi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 7, 2024
274 views 4 mins

*๐Ÿ“ŒAkabidhi Pikipiki na kofia ngumu Jumuiya ya Wazazi (CCM) Zanzibar* *๐Ÿ“ŒAwataka kutumia pikipiki hizo kuieneza CCM* *๐Ÿ“ŒAzuru Kaburi la Hayati Abeid Amani Karume* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ameitaka Jumuiya ya Wazazi ya CCM kutumia rasilimali walizonazo katika kukijenga na kukieneza Chama cha Mapinduzi (CCM) katika maeneo mbalimbali ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 6, 2024
248 views 4 mins

*Mwanza* Waziri wa Madini, Mhe. Anthony Mavunde amewataka Maafisa Madini Wakazi wa Mikoa kuongeza kasi ya ukusanyaji wa maduhuli ili kufikia lengo lililowekwa na Serikali la kukusanya shilingi bilioni 882 katika Mwaka wa Fedha 2023/2024 Waziri Mavunde amesema hayo leo Januari 06, 2024 jijini Mwanza kwenye kikao chake na Menejimenti ya Tume ya Madini iliyohusisha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 6, 2024
268 views 46 secs

Mwanga Ushirikishwaji vikundi vya kijamii kwenye matengenezo ya barabara ya Kisangara kwenda Shighatini wilayani Mwanga umemfurahisha Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff. Mhandisi Seff amefanya ziara ya kikazi katika Wilaya hiyo kukagua mradi wa matengenezo katika barabara hiyo yenye urefu wa Km. 25, unaofanywa na kikundi maalum […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Jan 6, 2024
382 views 6 mins

*๐Ÿ“ŒAweka Jiwe la Msingi Afisi ya Uhamiaji na Makaazi ya Askari Wilaya ya Mkoani- Kusini Pemba* *๐Ÿ“ŒUfunguzi wa Afisi hiyo ni sehemu ya maadhimisho ya Miaka ya 60 ya Mapinduzi ya Zanzibar* *๐Ÿ“ŒAsema Serikali itaendelea kupeleka huduma bora kwa wananchi* Pemba – Zanzibar Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...