FEATURE
on Feb 23, 2024
405 views 3 mins

MOROGORO Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuipandisha hadhi barabara ya Tanga – Kilosa – Mikumi – Lupembe – Njombe kuwa barabara kuu ‘Trunk Road’ ili kuinua uchumi katika mikoa yaTanga, Morogoro na Njombe ambapo barabara hiyo inapita. Bashungwa, ameyasema hayo wakati anakagua Ujenzi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 23, 2024
281 views 5 mins

DAR ES SALAAM Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya imehitimisha mafunzo kwa Maafisa waelimishaji wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU} kutoka katika mkoa na wilaya zote nchini, yaliyofanyika kwa lengo la kujengeana uwezo na kupeana mbinu zaidi za uelimishaji Umma katika mapambano shidi ya rushwa na dawa za kulevya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 20, 2024
331 views 17 secs

DAR ES SALAAM Jeshi  la Polisi Kanda maalum  ya Dar es Salaam  linachunguza  tukio la mtu mmoja aliyejifanya Mganga wa jadi maeneo ya Mji Mwema Kigamboni jijini Dar es Salaam na kuwanyeshwa Dawa inayodhaniwa kuwa ni sumu  na kuwaibia watu  16 wa wafamilia moja. Akizungumza na Waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam Kamishina wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 20, 2024
349 views 3 mins

Waziri wa Nchi,Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema Mradi wa Uendelezaji wa Jiji la Dar es Salaam (DMDP) awamu ya pili utajenga barabara za lami katika Mkoa wa Dar es salaam kilomita 250, kuanzisha mfumo wa udhibiti wa taka ngumu, masoko 18 pamoja na vituo vya mabasi tisa. Mhe.Mchengerwa ameyasema hayo leo Februari 20, 2024 jijini Dar […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 20, 2024
361 views 3 mins

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dkt. Philip Mpango ametoa wito kwa washiriki wa Kongamano la lugha za asili kujielekeza katika kupanga mikakati itakayohakikisha Kiswahili na lugha nyingine za asili zinapata fursa katika uchumi wa kidijiti ili kuwawezesha wananchi kushiriki kikamilifu katika sekta hiyo. Makamu wa Rais amesema hayo wakati wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 20, 2024
274 views 3 mins

Na Veronica Simba – REA Bodi ya Nishati Vijijini (REB) inayosimamia Wakala wa Nishati Vijijini (REA), imesema inategemea mafanikio makubwa katika kuiwezesha Wakala hiyo kutimiza azma yake ya kuwafikishia wananchi walioko vijijini nishati bora za umeme, mafuta na gesi. Hayo yamebainishwa mwishoni mwa wiki na Mwenyekiti wa Bodi hiyo, Balozi, Meja Jenerali Mstaafu, Jacob Kingu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 20, 2024
349 views 3 mins

Na Richard Mrusha Mikumi. WATUMIAJI wa Vyombo vya moto wametakiwa kupunguza mwendokasi zaidi pindi wanapopita kwenye Hifadhi ya taifa ya mikumi ili kuepuka kugonga wanyama na kusababisha hasara kubwa ya kukosa fedha kutokana na utalii unaofanyika kwenye Hifadhi hiyo. Hayo yamesemwa februari  19,2024 na kamishna mkuu Msaidizi wa hifadhi  ya Taifa Mikumi Kamanda ,Augustine Masesa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 20, 2024
341 views 5 mins

*📌Ataka TGDC kuchagiza mafanikio* *📌Akagua miradi ya Jotoardhi Kiejo-Mbaka na Ngozi* *📌Asema Dkt. Samia anataka huduma bora kwa wananchi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali imeamua kwa dhati kuendeleza vyanzo vya umeme wa Jotoardhi ili kuhakikisha  nchi inazalisha umeme wa kutosheleza mahitaji ya wananchi wake. Amesema chanzo hicho […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 19, 2024
259 views 4 mins

Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Uchukuzi leo imekutana jijini Dar es Salaam na Wizara ya Uchukuzi ya Misri lengo ni kuendeleza mashirikiano ya kiuchumi ya sekta ya uchukuzi kati ya nchi hizo mbili na kudumisha mahusiano mazuri yaliopo. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam Waziri wa Uchukuzi Prof Makame Mbarawa amesema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 19, 2024
220 views 3 mins

MBEYA *Aeleza jitihada za Serikali kupunguza changamoto ya umeme* *Aipongeza Mbeya kwa utekelezaji miradi ya maendeleo* *Asisitiza siasa zisiwagawe  wananchi* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt.Doto Biteko, leo amewasili mkoani Mbeya kwa  ziara ya kikazi mkoani humo. Ziara hiyo pia itahusisha ukaguzi wa miradi mbalimbali ya umeme mkoani humo. Akiwa katika Uwanja […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...