FEATURE
on Feb 26, 2024
373 views 2 mins

Na. Beatus Maganja Mkuu wa Wilaya ya Kilwa Mhe. Christopher Emil Ngubiagal amesema Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA ni taasisi iliyoleta mapinduzi makubwa katika Sekta ya Utalii na kuwa chanzo kikubwa cha mapato ya Serikali na wazawa wa wilaya hiyo kutokana na maboresho ya miundombinu ya utalii katika Hifadhi ya Urithi wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 26, 2024
181 views 2 mins

Na. Beatus Maganja Kazi iliyotukuka ya kutangaza Utalii wa Nchi yetu iliyofanywa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dr. Samia Suluhu Hassan kupitia filamu ya Tanzania “The Royal Tour” inazidi kudhihirisha matokeo chanya katika Hifadhi zetu Nchini hususan Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara ambayo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 26, 2024
588 views 3 mins

SHIRIKA la Reli Tanzania (TRC) hii leo,limezindua rasmi Treni ya umeme ya Abiria kutoka Stesheni Jijini Dar es salaam kuelekea Mkoani Morogoro. Safari hiyo ilianza mnamo mida ya saa nne na Nusu na kuwasili Mkoani Morogoro mida ya saa sita na nusu. Shirika la reli Tanzania TRC limeanza kufanya majaribio ya uendeshwaji wa Treni za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 26, 2024
299 views 2 mins

Na mwandishi wetu RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. Samia Suluhu Hassan ameipongeza klabu ya Yanga kwa kufuzu Robรณ Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika kufuatia ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya CR Belouizdad juzi โ€œNaipongeza Klabu ya Yanga kwa kufanya vyema katika hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa ya Shirikisho la […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 26, 2024
275 views 3 mins

Na mwandishi wetu.. WAZIRI MKUU na Mjumbe wa Kamati Kuu ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa, Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan ni kinara katika utekelezaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi. โ€œNi ukweli usiopingika kuwa Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama chetu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 26, 2024
306 views 6 mins

๐Ÿ“Œ *Uzinduzi rasmi kufanyika mwezi Machi mwaka huu* ๐Ÿ“Œ *Dkt. Biteko asema hakuna kulala; vyanzo vipya kutekelezwa* Na mwandishi wetu… Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa, mradi wa umeme wa Julius Nyerere (JNHPP) wenye uwezo wa megawatiย  2,115ย  umeanza kazi na kuingizaย  megawati 235 katika gridi ya Taifa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 24, 2024
276 views 6 mins

๐Ÿ“Œ *Azindua ugawaji Kadi za Bima ya Afya kwa wananchi 6000 jijini Mbeya* ๐Ÿ“Œ *Mbeya kufaidika na mradi wa umeme wa TAZA* ๐Ÿ“Œ *Vijiji 503 vyasambaziwa umeme* Mbeya Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko ametoa maelekezo kwa wasimamizi wa vituo vya Afya, Zahanati na Hospitali zote nchini kuhakikisha wanayasimamia madirisha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 24, 2024
187 views 2 mins

Waziri waย  Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa mwezi mmoja kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Henan Highway Engineering Group Co. Ltd, inayojenga barabara ya Ifakara-Kihansi (km 124) Sehemu ya kwanza Ifakara-Mbingu (km 62.5) kwa kiwango cha lami kuhakikisha analeta mitambo yote na wataalam eneo la mradi. Waziri Bashungwa ametoa agizo hilo wilayani Mlimba mkoani Morogoro mara […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 23, 2024
401 views 3 mins

Na mwandishi wetu DAR ES SALAAM Jeshi la Polisi kikosi cha Usalama Barabarani kimepiga marufuku wamiliki na madereva wote nchini kutoweka Ving’ora, Vimulimuli, Namba bandia na taa za kuongezwa kwenye magari na pikipiki kama kuna ulazima wa kufanya hivyo basi wanatakiwa kuomba ridhaa ya kupata kibali cha kufanya hivyo kwa Waziri wa Mambo ya Ndani. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...