FEATURE
on Mar 2, 2024
517 views 4 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mwenyekiti wa Jukwaa la katiba JUKATA Ambaye pia ni mwanaharakati wa maswala ya kijinsia Dkt Ananilea Nkya amekipongeza Chama cha ACT-Wazalendo kwa kulipa uzito swala la kijinsia na kuamua kutengeneza sera ya jinsia ya chama 2024. Sera hiyo inalenga kuimarisha usawa wa kijinsia ndani ya chama na kwenye ngazi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 2, 2024
238 views 2 mins

MHADHIRI Mstaafu wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) na Mwanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Dkt. Azaveli Lwaitama amesema kazi ya Wazee wa Chama cha ACT Wazalendo ni kuwa washauri wa chama hususan kwa vijana ili kuwa katika njia sahihi ya ujenzi wa umoja kwa maslahi ya Taifa. Dkt. Lwaitama amesema […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 1, 2024
247 views 47 secs

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe. Dk. Hussein Ali Mwinyi akiwa Mikocheni nyumbani kwa baba yake akiendelea kupokea mkono wa pole kutoka kwa Rais Mstaafu Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Jakaya Mrisho Kikwete na viongozi, ndugu, jamaa na marafiki kufuatia kifo cha Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan Mwinyi kilichotokea jana […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 1, 2024
304 views 5 secs

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ameitangaza ratiba ya maziko ya Rais wa mstaafu Ally Hassan Mwinyi itakayoanza leo saa tano na nusu asubuhi kwa mwili kuondoka nyumbani kwake Mikocheni kuelekea Msikiti Mkuu wa BAKWATA Kinondoni ambako Sheikh Dkt. Abubakar Bin Zuber Bin Ali ataongoza swala ya Ijumaa na taratibu zote za kidini. “Saa 8:00 Mchana, mwili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 29, 2024
317 views 4 mins

Na. Beatus Maganja Mkuu wa Mkoa wa Lindi Mhe. Zainab Rajab Telack amewataka wakazi wa wilaya ya Kilwa na Mkoa wa Lindi kwa ujumla kuwa tayari kuwapokea watalii wanaotembelea Hifadhi ya Urithi wa Dunia ya Magofu ya Kilwa kisiwani na Songo Mnara na kutumia fursa hiyo kufanya biashara za bidhaa za utalii ili kuwaingizia kipato. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 28, 2024
301 views 8 mins

WAKATI NHIF ikitangaza kuanza kwa matumizi ya kitita kipya kuanzia siku ya Ijumaa, Chama cha Wenye Hospitali Binafsi (APHFTA) kimetangaza tena kugomea kuwahudumia wanachama wa NHIF wakisema kuwa watapata hasara na hatimaye kufunga kutoa huduma. Chama hicho kinasema kuanza kutumika kwa kitita hicho kutazifanya hospitali nyingi binafsi kufa kifo cha asili natural death kwani zitashindwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 28, 2024
239 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mfuko wa Bima wa Taifa wa NHIF imefanya maboresho ya kitita cha mafao kwa wanachama wake ambayo utekelezaji wake utaanza rasmi Machi Mosi mwaka 2024 ikiwa lengo ni upatikanaji wa huduma bora wa wanachama pamoja na kuongeza huduma ambazo hazikuepo hapo awali. Aidha, amesema kuwa,  maboresho hayo ya orodha […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 27, 2024
389 views 55 secs

Na Madina Mohammed Mamlaka ya Dawa na vifaa tiba TMDA inawataarifu wananchi kuwa Kuna dawa aina ya XSONE ya macho inayotengenezwa na kiwanda Cha Abacus Paranteral Drugs Ltd (APDL) Kampala,Uganda dawa hiyo imebainika kutokidhi vigezo vya ubora ambayo ni matokeo DUNI. Imethibitika kuwa Kwa dawa hizo kuwa DUNI Kwa kuwa yameonesha kuwa na vipande vidogo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 27, 2024
294 views 3 mins

Na. Jacob Kasiri – Sitalike. Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa (Mb) amewataka Makamanda wa Shirika la Hifadhi za Taifa Tanzania (TANAPA) kuratibu maeneo yao vizuri na kusimamia sheria za uhifadhi kama zilivyopitishwa na Bunge ili maliasilia zilizomo ziendelee kuleta tija kwa taifa, ameyasema hayo jana Februari 25.02.2024 aliposimama kuwasalimia […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Feb 26, 2024
388 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mamlaka ya Usimamizi wa bandari  Tanzania TPA imeingia mkataba wa ujenzi wa matenki na Miundombinu ya kupokelea,kuhifadhi na Usambazaji wa bidhaa ya mafuta Katika bandari ya Dar es salaam Waziri wa uchukuzi Mhe prof Makame Mbarawa ameshuhudia utiaji Saini wa mkataba huo wa matenki 15 utakaogharimu shiringi bilioni 678 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...