FEATURE
on Mar 8, 2024
254 views 18 secs

DODOMA-CHAMWINO Wanawake wa Wizara ya Nishati, wameungana na wanawake wenzao dunia kuadhimisha siku ya wanawake ambayo Mkoani Dodoma imeadhimishwa wilayani Chamwino. Katika madhimisho hayo watumishi wametumia siku hiyo kuelimisha wananchi mbalimbali kuhusu nishati safi ya kupikia. Akitoa elimu  kwa baadhi ya wananchi Joyce Msangi afisa Misitu, alisema utumiaji wa nishati safi ya kupikia unalinda afya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 8, 2024
470 views 2 mins

LINDI -LIWALE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameipongeza timu ya Wataalam kutoka Wizara ya Ujenzi na Wakala wa Barabara Nchini (TANROADS), kwa kufanya kazi usiku na mchana kuhakikisha wanarejesha mawasiliano ya barabara ya Liwale – Nangurukuru ambayo imeanza kupitika. Waziri Bashungwa ameeleza hayo leo Machi 08, 2024 mkoani Lindi wakati akikagua urejeshwaji wa miundombinu ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2024
389 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Katibu mkuu wa  umoja wa wanawake wa chama Cha Mapinduzi UWT jokate mwegelo amewataka wanawake wajitokeze Katika kugombea nafasi mbalimbali za uongozi Ili nchi iweze kuwa  na viongozi wengi wanawake Wanawake hao wametakiwa kushiriki Katika kugombea nafasi hizo kwenye kipindi Cha uchaguzi mdogo na mkubwa unaotarajiwa kufanyika oktoba 25 […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2024
258 views 2 mins

Na mwandishi wetu DAR ES SALAAM Shirika la Mawasiliano Tanzania (TTCL) limetoa vifaa vya kufanyia usafi soko la mabibo Jijini Dar es salaam Kwa lengo likiwa ni kuunga mkono wafanyabiashara wanawake wanaofanya Shughuli zao ndani ya soko hilo. Msaada huo umetolewa na wanawake wa shirika hilo ni sehemu za shamrashamra za maadhimisho ya siku ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2024
453 views 8 mins

Na Madina Mohammed WAMACHINGA Agawa mitungi ya Gesi na Majiko Banifu kwa Wajasiriamali Dar es Salaam Ataka Taasisi kuachana matumizi ya kuni na mkaa Ahimiza wadau kuunga mkono juhudi  za Serikali Baadhi ya Wajasiriamali wafunguka Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa safari ya matumizi ya nishati safi ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2024
276 views 3 mins

Na Mwandishi wetu, Serengeti. Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi ya Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania – TAWA Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko amewataka Maofisa na askari wa Mapori ya akiba Ikorongo na Grumeti kuongeza umahiri katika utendaji kazi ili kuendana na kasi ya uwekezaji mahiri (SWICA) uliofanyika ndani ya hifadhi hizo zilizoko wilaya za […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2024
238 views 2 mins

Na mwandishi wetu Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi Balozi Eng. Aisha Amour kupeleka timu ya wataalam mkoani Lindi itakayohakikisha inasimamia urejeshwaji wa miundombinu yote ya barabara na madaraja iliyokatika kutokana na kujaa maji hivyo kusababisha huduma za usafiri na usafirishaji kusimama katika Wilaya za Liwale, Nachingwea, Ruangwa na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 7, 2024
228 views 30 secs

Na mwandishi wetu Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko akiongoza kikao kazi  ngazi ya Mawaziri kuhusu uendelezaji wa Bandari nchini. Kikao kazi hicho kimefanyika tarehe 7 Machi, 2024 katika ofisi ndogo ya Wizara ya Nishati jijini Dar es Salaam na kuhudhuriwa na Mawaziri wa Kisekta,  Makatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 6, 2024
482 views 57 secs

Na Madina Mohammed Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mbunge wa Jimbo la Ilala Mussa Azan Zungu amemtaka Mkuu wa Wilaya ya Ilala Edward Mpogolo kusitisha zoezi la Mgambo kuwakamata Wafanyabiashara waliopo Jimboni humo badala yake wawaache  wanfanye Biashara zao Kwa amani na utulivu. Naibu Spika huyo ameyasema hayo mara […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 6, 2024
287 views 3 mins

Na mwandishi wetu LINDI,LIWALE Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemsimamisha kazi Meneja wa TANROADS Mkoa wa Lindi, Eng. Andrea Kasamwa kwa kushindwa kusimamia urejeshwaji wa miundombinu ya barabara na madaraja katika Wilaya ya Liwale Mkoani Lindi na kupelekea barabara kuu zinanounganisha wilaya hiyo na maeneo mengine kufungwa. Waziri Bashungwa akiwa ameambatana na Naibu Waziri wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...