๐ *Yatoa angalizo kuhusu bei za umeme* Na Madina Mohammed CHALINZE Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imekagua utekelezaji wa miradi ya usambazaji umeme vijijini inayotekelezwa na Wakala wa Nishati Vijijini ( REA) mkoani Pwani. Mara baada ya ukaguzi huo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Mhe. Dkt. David Mathayo ameishauri Serikali kuangalia gharama […]
DAR ES SALAAM Mlimani city Ikiwa leo ni miaka mitatu tangu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aingie madarakani, Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) na Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Hassan Abbasi wamemshukuru Mhe. Rais kwa maono na maelekezo yake katika sekta za maliasili […]
๐ Aagiza kuanzishwa kwa Kitengo cha Nishati Safi ya Kupikia ๐ Lengo ni kutekeleza Ajenda ya Rais ya Nishati Safi ya Kupikia ๐Aagiza Matumizi ya CNG kupewa kipaumbele ๐Ataka huduma bora kwa wananchi ๐ Akumbusha vyeo visiwe sababu ya kiburi na majivuno kwa watendaji Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Biteko ameagiza […]
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Shirika la RELI la Tanzania limefanya.majaribio ya pili ya treni ya mwendokasi kutoka Mabehewa 4 Hadi 14 likieleza kuwa ni mafanikio ya kufanya majaribio ya juu ya uwezo wa vichwa vya treni unaofikia kichwa kimoj kubeba Mabehewa 15 Majaribio hayo yaliyofanya safari kuazia Jijini Dar es salaam kuelekea mjini […]
*Mameya wa Ilala na Kinondoni wafurahia mradi wa DMDP* Na. Catherine Sungura, Dar es Salaam Katika kipindi cha miaka mitatu ya Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, bajeti ya kuboresha miundombinu chini ya TARURA takribani Trilioni 2.53 zimepokelewa kwaajili ya uboreshaji wa miundombinu ya barabara za vijijini na mijini. […]
Waziri wa Maji Mhe Jumaa Aweso leo tarehe 14 Machi 2024 amefija Makao Makuu ya Shirika la Maendeleo Ufaransa AFD ambapo amekutana na kuwa na mazungumzo na Uongozi wa Shirika la Maendeleo Ufaransa AFD ukiongozwa na Marie-Hรฉlรจne Loison Naibu Mtendaji Mkuu wa Shirika la Maendeleo Ufaransa AFD Mazungumzo hayo yamejikita katika uwekezaji na utekelezaji wa […]
*Vitachimbwa visima vya ziada Zaidi ya 30 vya Bahari *Jumla ya futi za ujazo zilizogundulika trilioni 57.54 zote ni za gesi asilia MADINA MOHAMMED DAR ES SALAAM Mamlaka ya udhibiti mkondo wa juu wa petroli(PURA) na Chuo Cha Bahari Dar es salaam(DMI) Leo wametiaa Saini mkataba wa hati ya mashirikiano Hati hiyo inayohusu Mashirikiano Kwenye […]
DAR ES SALAAM ๐ *Azindua programu ya Kuboresha Kada ya Ualimu nchini (GPETSP)* ๐ *Ataja ongezeko la ajira kwa Walimu, madaraja na Bajeti ya Elimu* ๐ *Aeleza vipaumbele 8 kuendeleza Kada ya Ualimu* ๐ *Ataka Walimu wawe na Siku Maalum ya Motisha* ๐ *JK atoa neno kuhusu Taasisi ya GPE* Naibu Waziri Mkuu na Waziri […]
Waziri Mkuu wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba (Mb.) amekutana na Waziri wa Nchi Kilimo na Mifugo wa Rwanda kujadili na kuweka sawa mikakati ya ujenzi wa kiwanda cha kuchakata maziwa jijini Mwanza. Waziri Makamba amesema uwepo wa Kiwanda hicho cha Maziwa Jijini Mwanza kitatoa soko la maziwa na […]