FEATURE
on Mar 25, 2024
271 views 4 mins

Na mwandishi wetu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Balozi Dk. Emmanuel John Nchimbi amesema uamuzi wa kuwepo kwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa ya Zanzibar ulizingatia kutanguliza mbele usalama wa maisha ya watu, maslahi, utulivu na mstakabali mwema wa Zanzibar, Wazanzibar na Watanzania wote kwa ujumla, kuliko vyama vya siasa. Balozi Dk. Nchimbi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 24, 2024
460 views 4 mins

Ikungi Serikali imekamilisha ujenzi wa daraja linalounganisha Kata ya Minyughe na Makilawa, katika wilaya ya Ikungi mkoani Singida, lililokatika miaka mitatu iliyopita, na hivyo kuathiri shughuli za kiuchumi na upatikanaji wa huduma za kijamii ikiwemo afya na elimu. Kukamilika kwa daraja hilo la chuma (Mibey Bridge) lenye urefu wa mita 30 lililogharimu zaidi ya Sh. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 22, 2024
331 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Jeshi la Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam kwa kushirikiana na kikosi kazi maalum cha kuzuia na kupambana na matumizi ya makosa ya kimtandao kimeendelea na kazi ya ufuatiliaji na kufanikiwa kwa mara nyingine kuwakamata watuhumiwa Claudian Makaranga mwenye umri wa miaka (28) mkazi wa Kawe, Kinondoni na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 22, 2024
353 views 4 mins

Singida Utekelezaji wa miradi ya barabara katika Halmashauri ya Manispaa ya Singida upo hali nzuri kwa asilimia 75 ya miradi yote inayotekelezwa na Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA). Meneja wa TARURA Mkoa wa Singida Mhandisi Ibrahimu Kibasa amesema Manispaa hiyo ina jumla ya mtandao wa barabara wenye urefu wa Km. 523. Akizungumza […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 22, 2024
292 views 28 secs

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo ni Mgeni rasmi katika Maadhimisho ya Kilele cha Wiki ya Maji Tanzania na Siku ya Maji Duniani. Maadhimisho hayo yanafanyika Mtumba jijini Dodoma na kuhudhuriwa na viongozi na wadau mbalimbali wa maji kutoka Serikalini na Sekta Binafsi. “UHAKIKA WA MAJI KWA AMANI NA […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 22, 2024
320 views 43 secs

Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa (Mb) amewasili wilayani Mafia mkoani Pwani kufanya ziara ya kikazi  ambapo amepokelewa na Mkuu wa Wilaya ya Mafia, Aziza Mangosongo, leo tarehe 22 Machi 2024. Bashungwa amepokelewa pia na Mbunge wa Mafia ambaye pia ni Naibu Waziri wa Elimu, Omary Kipanga pamoja na viongozi wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi. […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 21, 2024
260 views 3 mins

DAR ES SALAAM Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. January Makamba amezindua Kamati ya Kupitia Majukumu na Maboresho ya Kituo cha Uhusiano wa Kimataifa cha Dkt. Salim Ahmed Salim zamani Chuo cha Diplomasia. Akizindua Kamati hiyo leo tarahe 20 Machi 2024 jijini Dar es Salaam, Mhe. Makamba amesema kazi kubwa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 20, 2024
366 views 13 secs

ZANZIBAR Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk.Hussein Ali Mwinyi amepokea salamu za poleย ย  kutoka kwa Mkurugenzi Mkuu wa Kampuni ya Wasafi Nasibu Abdul Juma almaarufu Diamond Platinumz na ujumbe wake Ikulu Mnazi Mmoja tarehe 20 Machi 2024. Aidha Rais Dk.Mwinyi ameushukuru uongozi wa Wasafi kwa kuja kumfariji na kushiriki katika mazishi […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 20, 2024
214 views 4 mins

๐Ÿ“Œ *Yaridhishwa na namna Serikali inavyotenga Fedha miradi ya Nishati* ๐Ÿ“Œ *Yataka Wizara kuongeza kasi kwenye utekelezaji wa bajeti 2023/2024* ๐Ÿ“Œ *TANESCO Yatakiwa kuimarisha miundombinu ya kusafirisha umeme* ๐Ÿ“Œ *Wizara yaahidi kutekeleza maagizo ya Kamati* Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na utekelezaji wa miradi mbalimbali inayotekelezwa chini ya wizara ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Mar 20, 2024
801 views 3 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa TAMISEMI wametoa taarifa kwa wahitimu wa Kidato cha Nne mwaka 2023 kuhusu fursa ya kubadilisha machaguo ya Tahasusi za Kidato cha Tano na Kozi za Vyuo vya Ualimu, Vyuo vya Kati na Elimu ya Ufundi kwenye mfumo wa kielektroniki […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...