FEATURE
on Apr 5, 2024
413 views 47 secs

DODOMA Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan inaendelea na miradi mbalimbali ya kupunguza msongamano waย  magari katika Miji na Majiji kwa kujenga barabara za juu (Fly Overs) kwenye Makutano ya barabara, Ujenzi wa Miundombinu ya Mabasi yaendayo haraka (BRT). Bashungwa ameeleza hayo jijini […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 5, 2024
400 views 58 secs

DODOMA Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu Serikali imefanikiwa kukamilisha viwanja vya Ndege 5 ambavyo ni Kiwanja Cha Ndege cha Geita, Mwanza, Mtwara, Songwe na Songea. Waziri Bashungwa ameeleza hayo jijini Dodoma tarehe 5 Aprili, 2024 katika hafla ya kuangazia mafanikio ya miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 5, 2024
805 views 11 secs

DODOMA Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amesema katika kipindi cha miaka mitatu ya Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, Sekta ya Ujenzi imefanikisha ujenzi wa madaraja makubwa 8 yakiwemo Daraja la Wami mkoani Pwani, Daraja la Tanzanite mkoani Dar es Salaam, Daraja la Gerezani mkoani Dar es Salam, Daraja la Mpwapwa mkoani Dodoma, Daraja la […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 4, 2024
323 views 2 mins

Morogoro Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) ina lengo la kuhakikisha barabara zote nchini zinapitika kwa asilimia 85 ili kuinua uchumi na kuwezesha huduma za kijamii kwa wananchiย  ifikapo mwaka 2025/2026. Hayo yamesemwa na Mtendaji Mkuu wa TARURA Mhandisi Victor Seff wakati wa ufunguzi wa kikao cha Baraza la Wafanyakazi wa TARURA kilichofanyika […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 4, 2024
200 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM MAMLAKA ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA), imefanikiwa kukamata Kilogramu 4.623 za aina mpya ya dawa ya kulevya aina ya methylene dioxy pyrovalerone (MDPV) iliyokamatwa jijini Dar es Salaam ikisafirishwa na raia wa Comoro anayeitwa Ahmed Bakar Abdou (32). Akizungumza na waandishi wa habari leo Aprili […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 4, 2024
370 views 50 secs

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Ngome ya wazee wa Act Wazalendo wanaunga mkono tamko la chama lililotolewa na makamu Mwenyekiti wa chama Ndugu Isihaka Mchinjita la kuwataka wajumbe wote wa Tume ya uchaguzi Wajiuzulu Kwa hatua hiyo ya wajumbe wa Tume ya uchaguzi kujiuzulu itatoa nafasi Kwa wajumbe wapya kuteuliwa Kwa kuzingatia masharti yaliyopo […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 3, 2024
394 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Shirika la RELI la Tanzania TRC imeeka historia ya kwanza Kwa kuleta seti ya kwanza ya treni ya kisasa ya EMU,Vichwa vitano vya umeme na Mabehewa matatu ya abiria ambavyo vimewasili Katika bandari ya Dar es salaam Serikali Kupitia shirika la RELI Tanzania imepokea jumla ya Mabehewa 65 ya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 3, 2024
313 views 2 mins

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Dkt. Biteko akutana na Mwenyekiti wa Bodi ya EITI ya nchini Norway* Ushirikiano wa EITI na TEITI kuimariswa* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko leo tarehe 3 Aprili, 2024 amekutana na kuzungumza na Mwenyekiti wa Asasi ya Bodi ya Kimataifa ya Uhamasishaji Uwazi na […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 2, 2024
310 views 53 secs

DODOMA Serikali kupitia Wizara ya Ujenzi imesema inaendelea na ujenzi wa barabara ya Sanzate – Nata iliyopo Wilaya ya Serengeti mkoani Mara (km 40) kwa kiwango cha lami ambapo utekelezaji wake umefikia asilimia 45 na inatarajiwa kukamilika ifikapo mwezi Januari, 2025. Hayo yameelezwa Bungeni jijini Dodoma leo Tarehe 2, Aprili 2024 na Naibu Waziri wa […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...
FEATURE
on Apr 2, 2024
207 views 3 mins

*๐Ÿ“ŒNi kufuatia hitilafu ya umeme kwenye mfumo wa Gridi* *๐Ÿ“ŒAigaza TANESCO kutafuta mwarobaini wa tatizo la kufeli kwa Gridi mara kwa mara* *๐Ÿ“ŒAwataka kufanya ukarabati wa vituo vya kufua umeme, ili kuvipa ufanisi* *๐Ÿ“ŒAwatahadharisha juu ya uwepo wa mvua nyingi na kuchukua tahadhari* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amefanya […]

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge ...