KIMATAIFA, KITAIFA
July 24, 2023
742 views 53 secs 0

JWTZ NA JESHI LA MAREKANI WAZINDUA MAFUNZO YA PAMOJA.

Jeshi la Marekani na Jeshi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) wamezindua mafunzo ya pili ya pamoja ya kila mwaka katika hafla iliyofanyika katika Kituo cha Mafunzo ya Ulinzi wa Amani Kunduchi Tarehe 21 Julai 2023. Mafunzo haya yatafanyika sehemu mbalimbali Tanzania katika kipindi cha miezi michache ijayo kwa lengo la kuimarisha ushirikiano kati ya vikosi […]

KIMATAIFA
July 21, 2023
328 views 6 mins 0

KENYA HALI TETE” WALINZI WA MAMA KENYATTA WAONDOLEWA

Nairobi. Hali ni tete nchini Kenya, huku watu saba wakidaiwa kupigwa risasi wakati wa maandamano yanayoendelea yakiongozwa na Kiongozi wa Upinzani, Raila Odinga. Taarifa zinasema watatu kati ya waliopigwa risasi ni katika Kaunti ya Nakuru, wawili Makueni na wengine wawili Migori. Msimamizi wa hospitali iliyoko Migori, Oruba Ochere alithibitisha kuwa wanaume wawili waliojeruhiwa kwa risasi […]

KIMATAIFA
June 15, 2023
270 views 43 secs 0

Boti iliyozama ugiriki ilikuwa na watoto 100

Manusurika wa boti ya wavuvi iliyozama kusini mwa ugiriki katika mojawapo ya maafa mabaya zaidi ya wahamiaji barani ulaya wanasema karibu watoto 100 huenda walikuwa ndani ya boti hiyo Takribani watu 78 tayari wamethibitishwa kufariki katika maafa hayo Lakini wengine zaidi Bado wamepotelea baharini,huku ripoti zikisema kuwa Hadi watu 750 walikuwa ndani ya boti hiyo […]

KIMATAIFA, KITAIFA
May 31, 2023
808 views 2 mins 0

MIPAKA TANZANIA NA KENYA KUIMARISHWA

Tanzania na Kenya ziko katika kikao cha majadiliano ya kuendelea na kazi kuimarisha mpaka wa kimataifa wa nchi hizo mbili kipande cha awamu ya tatu cha kutoka Namanga mkoani Arusha hadi Tarakea Kilimanjaro. Kikao hicho cha siku tano cha Kamati ya Pamoja baina ya Wataalamu wa nchi hizo mbili kilianza tarehe 29 Mei 2023 na […]

KIMATAIFA, KITAIFA
May 31, 2023
198 views 2 secs 0

AIR TANZANIA CARGO KUWASILI NCHINI JUNI 3

Mkurugenzi wa Idara ya Habari – MAELEZO na Msemaji Mkuu wa Serikali, Gerson Msigwa amesema ndege ya mizigo inatarajia kufika nchini Juni 3 mwaka huu na kuwa Juni 1, 2023, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhe. Makame Mbarawa atazungumza na waandishi wa habari kuhusu upokeaji wa ndege hiyo. Amesema hayo leo Mei 31, 2023 katika […]

KIMATAIFA
May 23, 2023
296 views 3 mins 0

WAZIRI MASAUNI, KATIBU MKUU MMUYA, MWENYEKITI WA KAMATI YA NUU, KAWAWA WASHIRIKI MKUTANO WA KIMATAIFA WA IKOLOJIA YA UTAMBULISHO NAIROBI, KENYA

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akizungumza na Katibu Mkuu wa Wizara ya Uhamiaji Kenya, Prof. Julius Bitok (kushoto), kabla ya kuanza kwa Mkutano wa Kimataifa wa ID4AFRICA unaojadili masuala ya Ikolojia ya Utambuzi (Identity Ecosystem), unaofanyika jijini Nairobi nchini Kenya, leo Mei 23, 2023. Kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara […]

KIMATAIFA, KITAIFA
May 15, 2023
365 views 56 secs 0

IGP WAMBURA – MAOFISA NA ASKARI KUPATIWA MAFUNZO MAALUM

Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania Camillus M.Wambura IGP akiwa na ujumbe wa Maofisa watano kutoka Jeshi la Polisi Tanzania leo Mei 15,2023 wameanza rasmi ziara ya kikazi Nchini Ireland ambapo ametembelea Makao Makuu ya Jeshi la Polisi Ireland \”An Garda Síochána\” na kukutana na Deputy  Commissioner Anne Marie McMahon.Wameweza kubadilishana uzoefu wa namna ya […]