Florida: Dada auawa kwa kupigwa risasi katika mzozo wa zawadi ya Krismasi
Ndugu wawili wamekamatwa baada ya dada yao kupigwa risasi na kuuawa wakati wa mabishano kuhusu zawadi za Krismasi. Msichana huyo mwenye umri wa miaka 23 alipigwa risasi kifuani na kakake huku akiwa na mtoto wake wa kiume wa miezi 10 kwenye gari la kubebea mizigo, polisi mjini Florida ilisema. Mvulana huyo baadaye alipigwa risasi na […]