KIMATAIFA, KITAIFA
January 27, 2025
92 views 2 mins 0

TANZANIA YAANGAZA FITUR 2025 MADRID

Bodi ya Utalii Tanzania- TTB kwa kushirikiana na Ofisi ya Ubalozi wa Tanzania unaowakilisha Uhispania sambamba wadau mbali wa Utalii kutoka sekta binafisi chini ya mwamvuli wa TLTO kwa pamoja wamefanikisha Ushiriki wa Nchini ya Tanzania katika onesho la 45 la FITUR jijini Madrid, hii ni kuanzia tarehe 22 hadi 26 January,2025. Katika onesho hilo […]

KIMATAIFA
November 11, 2024
155 views 5 mins 0

Kiwanda Kipya cha Chuma cha Zambia Kukuza Soko la Tanzania kwa Chuma cha Ubora wa Juu, Kinachoshindanishwa na Gharama Ikilinganishwa na Uagizaji wa Kisheria.

Na Madina Mohammed Mhe Rais Hakainde Hichilema wa Zambia alizindua kiwanda cha kisasa cha PDV Metals Steel Plant,ambacho walichoingia ubia kati ya PDV Group kutoka China na Nicho Group ya Zambia. Mradi huo ukiwa katika Ukanda wa Kiuchumi wa Lusaka Kusini, wenye thamani ya dola milioni 230 unasimama kama kituo kikubwa zaidi cha uzalishaji wa […]

KIMATAIFA
November 06, 2024
224 views 3 mins 0

Donald Trump ashinda uchaguzi wa urais Marekani

Donald Trump ameshinda uchaguzi wa urais nchini Marekani 2024. Trump ameibuka mshindi baada ya kumshinda mpinzani wake kutoka chama cha Democrats bi Kamala Harris. Mgombea huyo wa Republican alipata ushindi mnono dhidi ya Kamala Harris, unaomruhusu kurejea katika kiti cha urais wa Marekani. Trump, ambaye alishinda uchaguzi wa 2016 na kupoteza ule wa 2020, alichukua […]

KIMATAIFA
August 01, 2024
223 views 53 secs 0

GUTERRES AMEONYA MAUAJI YA KIONGOZI WA HAMAS YANAWEZA KUZIDISHA MACHAFUKO MASHARIKI YA KATI

Na Anton Kitereri Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Antonio Guterres ameonya kuwa Israel kumuua kamanda wa Hezbollah mjini Beirut na mauaji ya kiongozi wa Hamas mjini Tehran yanaashiria “uzidishaji hatari” wa hali ya machafuko  huko Mashariki ya Kati. Guterres alisema katika taarifa yake kwamba kipindi hiki “ juhudi zote zapaswa kujikita kwenye mchakato wa […]

KIMATAIFA
August 01, 2024
201 views 40 secs 0

RWANDA NA DRC ZAJUBALIANA KUSITISHA MAPIGANO MASHARIKI MWA CONGO

Na Anton Kitereri Mawaziri wa mambo ya nje wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda wamefikia makubaliano ya kusitisha mapigano kuanzia Agosti 4 katika mkutano uliofanyika mjini Luanda chini ya upatanishi wa Rais wa Angola, ofisi ya Rais wa Angola imedhibitisha. Nchi ya Angola imekuwa mpatanishi katika mzozo huo wa mashariki mwa DRC katika […]

KIMATAIFA
July 30, 2024
191 views 53 secs 0

WANAHARAKATI NCHINI SUDAN WAMESEMA RSF IMEUA WATU 65 KATIKA MJI WA EL-FASHER

Na Anton Kitereri Takriban watu 65, wengi wao wakiwa ni watoto  waliuawa tangu siku ya Jumamosi kwenye mashambulizi ya mabomu yaliyofanywa na wanamgambo wa kikosi cha Rapid Support Forces (RSF) katika mji wa jimbo la Darfur wa El-Fasher. wanaharakati hao wamesema kwamba mji huo wa jimbo la Darfur Kaskazini ndio mji mkubwa ambao haujadhibitiwa na […]

KIMATAIFA
July 30, 2024
215 views 39 secs 0

UINGEREZA IMEWATAKA RAIA WAKE KUONDOKA LEBANON NA KUTOSAFIRI KWENDA NCHINI HUMO

Na Rachel Tungaraza Uingereza imewataka raia wake kuondoka Lebanon na kutosafiri kwenda nchini humo kutokana na kuongezeka kwa mivutano katika kanda ya Mashariki ya Kati. Waziri wa Mashauri ya Kigeni wa Uingereza, David Lammy, amesema hali inabadilika haraka katika kanda hiyo, na wizara yake inafanya kila iwezalo kuhakikisha usalama wa raia wake. Juhudi kubwa za […]

KIMATAIFA
July 29, 2024
214 views 2 mins 0

ISRAEL YAIDHINISHA WAZIRI NETANYAHU KUCHUKUA HATUA KALI KIJIBU SHAMBULIZI LA ROKETI

Na Rachel Tungaraza Israel-Golan Baraza la Usalama wa Taifa la Israel limeidhinisha serikali ya Waziri Mkuu Benjamin Netanyahu kuchukua hatua kali kujibu shambulizi la roketi lililotokea katika Milima ya Golan na kusababisha vifo vya vijana na pamoja na watoto Uamuzi huo umekuja baada ya kikao cha dharura kilichofanyika kufuatia shambulizi hilo ambalo limeacha taifa katika […]

KIMATAIFA
July 29, 2024
208 views 52 secs 0

KAMATI YA NIDHAMU YA CHAMA TAWALA NCHINI AFRIKA KUSINI ANC IMEAMUA KUMFUKUZA UANACHAMA RAIS WA ZAMANI JACOB ZUMA

Na Anton Kiteteri Chama Cha ANC kimemfukuza uanachama rais wa zamani wa Africa Kusini Jacob Zuma.Uamuzi huo ambao haujatangazwa rasmi, ulichukuliwa baada ya kesi za kinidhamu kuanzishwa mwezi huu dhidi ya kiongozi huyo wa zamani ambaye bado ana umaarufu na ushawishi mkubwa nchini humo. “Mwanachama aliyeshtakiwa amefukuzwa katika chama cha ANC,” umesema waraka uliovuja, ambao […]

KIMATAIFA
July 26, 2024
260 views 2 mins 0

MAKAMU WA RAIS KAMALA HARRIS KUKAMILISHA MAKUBALIANO YA AMANI NI KULETA SULUHISHO YA VITGA VYA GAZA

Na Rachel Tungaraza Makamu wa Rais wa Marekani, Kamala Harris, ameonesha mabadiliko katika sera za Marekani kuhusu Gaza. Katika mazungumzo yake na Waziri Mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, Kamala Harris amesisitiza umuhimu wa kukamilisha makubaliano ya amani na kuleta suluhisho juu ya vita vya Gaza ambavyo vimesababisha hasara kubwa kubwa nchini humor na vifo vya […]