MAMA WEMA AKIWASHA SIKU YA BIRTHDAY PARTY YA WEMA
Mama mzazi wa msanii maarufu wema sepetu achafua hali ya hewa kwenye birthday party ya mtoto wake Kilichoendelea mama huyo alipeleka zawadi ya kanga Kwa mwanawe na kugeuka somo Kwa Muda Kwa kumfunda wema sepetu Somo kubwa alilolitoa mama huyo ni kuhusu matumizi ya khanga Kwa mwanamke kwani alishawai kumuomba khanga mwanae na kupewa mtandio […]