BURUDANI
December 12, 2023
332 views 9 secs 0

STEVE NYERERE:KUWAVESHA VIATU WAHANGA WA HANANG

DAR ES SALAAM: Na Madina Mohammed Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ongea na Mwanao, Steve Mengele ‘Steve Nyerere’ amewaomba watanzania kuwachangia huduma za vitu mbali mbali waathirika wa mafuriko Hanang. Akizungumza na waandishi wa habari juu ya Programu ya Mama amstiri Mwanamke jijini Dar es Salaam Steve Nyerere amesema kuwa taasisi hiyo imelenga kutoa taulo […]

BURUDANI
December 12, 2023
703 views 37 secs 0

NISHER MTOTO WA NABII MKUU GEODAVIE AFARIKI DUNIA

Director maarufu wa video mbalimbali ikiwemo za Wasanii wa Bongofleva ambaye pia ni Mtoto wa kwanza wa Muhubiri maarufu wa Arusha wa Kanisa la Ngurumo ya Upako Dr. GeorDavie, Nic Davie maarufu Nisher amefariki saa nane na dakika tisa usiku wa kuamkia leo December 12,2023. Familia ya Dr. GeorDavie imethibitisha kutokea kwa msiba huo wa […]

BURUDANI, KITAIFA
November 22, 2023
308 views 16 secs 0

TAMTHILIA YA SIRI YAJAKWA KISHINDO YATABIRIWA KUIFUNIKA TAMTHILIA ZOTE

KAMPUNI ya Azam Media imetambulisha tamthilia ya kitanzania inazofahamika kama ‘Siri’ ambayo imebeba simulizi na kuleta mapinduzi ya tasnia ya tamthilia nchini. Akizungumza na waandishi wa habari, jijini Dar es Salaam, msimamizi Mkuu wa Chaneli ya Sinema Zetu, Sophia Mgaza amesema kuwa uzalishaji wa tamthia hiyo umezingatia mahitaji ya soko kwani wametumia vifaa vya uzalishaji […]

BURUDANI, KITAIFA
November 22, 2023
312 views 56 secs 0

MALISA AZINDUA KAMPENI YA LIPA TUKUBUST NA STARTIMES

KUELEKEA Msimu wa Sikukuu za Christmas na Mwaka mpya Kampuni ya Startimes imezindua rasmi Kampeni ya “Lipa tukubusti” itakayodumu miezi mitatu kuwaweka karibu watazamaji kiburudani na kimichezo. Akizungumza na wanahabari leo Novemba 20,2023 Jijini Dar es Salaam, Meneja Masoko wa Kampuni ya Startimes David Malisa amesema msimu huu wa Sikukuu familia zinakuwa pamoja hivyo Kampeni […]

BURUDANI
October 09, 2023
387 views 2 mins 0

TUNZO ZA MAGIC VIBE AWARD KUPAMBA MOTO

Muigizaji na mtangazaji wa clouds media Burton Mwambe maarufu kama mwijaku azungumzia Sakata LA kufungwa kwa shule mjini Paris kuwa na wingi wa kunguni. Mwijaku amesema kuwa alipata bahati ya Kufika katika jiji hilo na kuona muingiliano mkubwa wa watu wanaoenda kutalii katika jiji hilo huenda ndio wanaosababisha kunguni mjini Paris. Mwijaku amesema hayo oktoba […]

BURUDANI
October 07, 2023
403 views 2 mins 0

ATE WAHITIMISHA KILELE CHA BONANZA LA AFYA KWA WAAJIRI KWA MWAKA 2023

Leo Jumamosi, tarehe 7 Oktoba 2023, ATE kwa kushirikiana na wadau wa kazi na Ajira, wamehitimisha kilele cha Bonanza la Afya la Waajiri kwa mwaka 2023 lililobeba ujumbe unaosema “Kuimarisha Afya ya Akili ili Kuongeza Tija Mahali pa Kazi.” Mgeni Rasmi katika Bonanza hili alikuwa ni Waziri wa Nchi, OWM-KVAU, Mhe. Prof. Joyce Lazaro Ndalichako […]

BURUDANI
October 06, 2023
240 views 2 mins 0

TAWA YASHIRIKINMAONESHO YA KIMATAIFA YA ‘SITE’ JIJINI DAR ES SALAAM MAENEO MAPYA YA KIMKAKATI YANADIWA

MAMLAKA ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) inashiriki maonesho ya Saba ya Kimataifa ya Swahili International Tourism Expo (SITE) yaliyozinduliwa Leo Oktoba 6, 2023 na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angellah Kairuki katika Ukumbi wa mikutano wa Kimataifa wa Mlimani City Jijini Dar es Salaam Wanunuzi wa bidhaa za utalii kutoka masoko ya kiutalii […]

BURUDANI
October 06, 2023
263 views 6 mins 0

MHE.KAIRUKI ATAJA MAFANIKIO LUKUKI YA RAIS SAMIA KWENYE SEKTA YA UTALII

Serikali imesema inakusudia kukuza utalii wa fukwe, mikutano pamoja na utalii wa kuvinjali kwa meli ikiwa ni mkakati wa kuongeza mazao mapya ya utalii nchini kwa ushirikiano baina ya Tanzania bara na visiwani. Akisoma hotuba kwa niaba ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye ufunguzi rasmi wa Maonesho ya […]

BURUDANI, KITAIFA
September 30, 2023
273 views 2 mins 0

TAMASHA LA NGOMA ZA ASILI LA TULIA KUKUZA UTALII MKOANI MBEYA

Tamasha la Ngoma za Asili lijulikanalo kama “ *Tulia Traditional Dances Festival* ” ni kichocheo kikubwa katika kukuza ajira na utalii nchini. Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Angellah Kairuki (Mb) ameyasema hayo wakati akihitimisha tamasha hilo lililoambatana na mbio za “Tulia Marathon” lililofanyika leo Septemba 30,2023 jijini Mbeya. “Tamasha hili ni moja ya zao […]