BURUDANI
April 07, 2024
720 views 58 secs 0

TUZO ZA TMA 2024 KUFANYA MAGEUZI NCHINI TANZANIA KATIKA SEKTA YA MUZIKI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Kamati ya Tuzo za Tanzania (TMA 2024) iliyopewa jukumu mahususi la kuandaa Matukio ya Tuzo za muziki Tanzania imetangaza rasmi uzinduzi wa Tuzo hizo ambapo mchakato wake utaanza hivi karibuni. Makamu Mwenyekiti wa Kamati ya TMA,Christine Mosha (Seven) Amesema Tuzo hizo za TMA ambazo zitajumuisha wasanii wote kuazia waimbaji,wachezaji […]

BURUDANI
March 26, 2024
918 views 3 mins 0

TAMTHILIA YA BUNJI YAJA KWA KISHINDO, TAMTHILIA YA NIA YAFIKIA TAMATI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Azam Media LTD Kwa mara nyingine tena wametambulisha Tamthilia Mpya ya BUNJI Ambayo itakayoonyeshwa Kwa mara ya kwanza Aprili Mosi,Mwaka 2024 Katika channel namba 103 ya sinema zetu Tamthilia hiyo ya BUNJI itaanza kuruka kuanzia Jumatatu mpaka Alhamis saa 1 na nusu usiku, Tamthilia hiyo ambayo ikiwakirishwa na Msanii […]

BURUDANI
March 15, 2024
346 views 2 mins 0

HALIMA KOPWE AWAOMBA WADAU MBALIMBALI KUWEKEZA KATIKA TASNIA YA UREMBO

DAR ES SALAAM Mwakilishi wa Tanzania wa Mashindano la Mrembo wa Dunia (Miss World 2024)Halima Kopwe amewaomba wadau mbalimbali kuwekeza kwenye tasnia ya urembo kama inavyofanya vilabu mpira ili vijana wengi kupenda tasnia hiyo na kuweza kuitangaza Tanzani Kimataifa. Akizungumza Machi 13, 2024 na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam wakati akizungungumzia kuhusu ishiriki […]

BURUDANI
March 15, 2024
438 views 38 secs 0

WEMA SEPETU ALADONGE NONO KAMPUNI YA HELABET

Madina Mohammed DAR ES SALAAM Kampuni ya mtandao ya michezo ya kubashiri nchini Tanzania HELABET na Mwanamitindo na muigizaji Wema Sepetu wameingia makubaliano rasmi ya kufanya kazi Kwa pamoja Kwa kipindi Cha miezi 6 Kwa kuwa balozi wao Wema sepetu Amesema kuwa amekuwa wanafamilia Katika namba moja ya kampuni ya HELABET ya online “Mimi huwa […]

BURUDANI
March 07, 2024
277 views 51 secs 0

UWT YAZINDUA KUNDI LA SAMIA QUEENS LINALOHUSISHA WASANII WANAWAKE NCHINI

Na mwandishi wetu DAR ES SALAAM Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania wa Chama Cha Mapinduzi (UWT) Ikiongozwa na Mwenyekiti wake Mary Chatanda , kupitia Katibu Mkuu Ndugu. Jokate Mwegelo amezindua kundi la SAMIA QUEENS ambalo ni muunganiko wa Wasanii wote wa Kike wa Sanaa ya Muziki na Uigizaji. Lengo la kundi hilo ni kuwa […]

BURUDANI
February 29, 2024
348 views 5 mins 0

DKT BITEKO UTAMADUNI NA UTU WA MTANZANIA USIDHALILISHWE

📌 *Awapongeza Wasanii kwa kutopuuza utamaduni wa Mtanzania* 📌 *Ampongeza Dkt. Samia kwa kuufufua Mfuko wa Utamaduni* 📌 *Ataka Wasanii kuhamasisha Uchaguzi wa Serikali za Mitaa* Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Watanzania wana kila sababu ya kulinda utamaduni na utu wao na katu wasiudhalilishe dhidi ya utamaduni wa […]

BURUDANI
February 02, 2024
450 views 2 mins 0

TAMTHILIA MPYA YA TOBOATOBO KUONYESHWA FEBRUARI 9 MWAKA HUU CHANEL 103

Na Madina Mohamedi Tukiwa mbioni mwisho wa Msimu wa AFCON BOMBA Azam Media LTD kupitia chaneli 103 wanakuja na tamthilia ya Toboatobo itakayoanzwa kuonyeshwa Februari 9 ,2024 kuanzia Ijumaa mpaka jumapili saa moja na nusu usiku . Akitambulisha Tamthilia hiyo katika mkutano na Waasanii waliicheza na Waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam Sophia […]

BURUDANI, KITAIFA
December 31, 2023
320 views 2 mins 0

TAWA NA BONGO MOVIE KUTANGAZA UTALII KUPITIA FILAMU

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mamlaka ya Usimamizi wa Wanyamapori Tanzania (TAWA) Mej. Jen. (Mstaafu) Hamis Semfuko, ameungana na wasanii wa filamu zaidi ya 50 wa mkoa wa Dar Es Salaam katika Pori la Akiba Pande ikiwa ni sehemu ya mkakati wa kuendelea kutangaza vivutio mbalimbali vya utalii. Katika ziara yake aliongozana na Kamanda […]

BURUDANI, KITAIFA
December 22, 2023
447 views 30 secs 0

MAKONDA ATIMIZA AHADI YAKE AMKABIDHI PROF JAY TSH MILION 20 NA KUMTAFUTIA NYUMBA UPANGA

Awakumbusha waliotoa ahadi zao kuzikamilisha ili kuendelea kuiwezesha Taasisi ya Professor Jay Foundation_ Katibu wa Halmshauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu. Paul Makonda , ametimiza ahadi yake ya kumchangia Tsh Milioni 10 kwa aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mikumi na Mwanamuziki wa (HipHop) Nchini Bw. Joseph Haule Maarufu […]

BURUDANI, KITAIFA
December 21, 2023
507 views 2 mins 0

TAASISI YA MTETEZI WA MAMA WASHEHEREKEA SIKU YA KUZALIWA KWA RAIS SAMIA KWA AINA YAKE

Taasisi ya Mtetezi wa Mama hii leo imesema kuwa inatarajia kuungana na Rais Dkt Samia Suluhu Hassan katika kusherehekea siku yake ya kuzaliwa January 27/2024 kwa namna ya kipekee ikiwemo kutoa misaada mbalimbali kwa wahitaji. Akizungumza na Waandishi wa Habari Jijini Dar es salaam Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Mohammed Chande amesema kazi kubwa ya Taasisi […]