BURUDANI
October 03, 2024
369 views 3 mins 0

Inuka Ung’are: The Hello Jua Sunrise Party katika Wavuvi Kempu!

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Ikiwa ulifikiri kuwa karamu ni jambo la usiku tu, fikiria tena! Sherehe ya Hello Jua sunrise huko Wavuvi Kempu ilichukua dhana ya “maisha ya usiku” kwa kiwango kipya kabisa, na bado tunapiga kelele kutokana na matumizi ya umeme. Tukio hili lililofadhiliwa na Johnnie Walker Gold mmoja pekee, liligeuza […]

BURUDANI
September 07, 2024
516 views 22 secs 0

MAMA KANUMBA ALIA KWA FURAHA KUMKUMBUKA MWANAE KANUMBA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mama wa hayati Steven Kanumba Ni miongoni mwa wageni wanaohudhuria tamasha la Faraja ya Tasnia ambalo linalenga kuwaenzi wasanii na wanatasnia wote waliotangulia Mbele za haki. Mama Kanumba amewaambia waandishi kuwa walioofikiria kuja na tamasha hilo wamefanya jambo jema kwani kuwaenzi wasanii na wengine walio kwenye tasnia ni […]

BURUDANI
July 11, 2024
365 views 38 secs 0

STEVE NYERERE:WASANII WA BONGO TUELIMIKE SIO KILA KAZI YA USANII UTAKE UFANYE WEWE ‘TUELIMIKE’

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mwenyekiti wa Wasanii na Muigizaji Steve Nyerere Wamemuomba Mhe.Rais Samia Suluhu Hassan kuwa kipaumbele Chao Cha kwanza ni Elimu Kwa wasanii Amesema kuwa Kuna watu wanaitajika kupewa elimu ni Director,Camera Man, Producer na Editor Hayo Ameyasema Leo 11,Julai 2024 Mwenyekiti wa Wasanii na Muigizaji Steve Nyerere wakati wakitoa […]

BURUDANI, KITAIFA
June 11, 2024
409 views 47 secs 0

TAASISI YA MAMA ONGEA NA MWANAO YAWASHIKA MKONO WATOTO WENYE ULEMAVU

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA TAASISI ya Mama Ongea na Mwanao  kwa kushirikiana na wadau wa maendeleo wametoa msaada wa Baiskeli 250 kwa watoto wenye mahitaji maalumu (Walemavu) ili kuwasaidia kutimiza ndoto zao za kupata elimu . Akizungumza na Waandishi wahabari leo Juni 11, 2024 jijini Dar es Salaam Mwenyekiti wa Taasisi hiyo Steve Nyerere amesema […]

BIASHARA, BURUDANI
June 10, 2024
382 views 14 secs 0

SAMAKI SAMAKI KUJA NA KAMPENI YA HATUSHIKIKI YENYE OFA KABAMBE

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Katika kuhakikisha burudani hazipoi na kuwafikia watanzania Hatushikiki imekuja na kuzama kwa jua ili kukuza sekta ya burudani na kuwafanya wasanii kutoa burudani ya aina yake. Akizungumza jijini Dar es Salaam Mkurugenzi Mtendaji  wa Kalito’s Way Group of Companies, Carlos Kalito, amesema kuwa wana sheherekea mafanikio ya biashara […]

BIASHARA, BURUDANI
June 09, 2024
1215 views 45 secs 0

IRENE UWOYA ATOA SIRI YA MAFUTA YAKE KUWA YANA UPAKO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mrembo Msanii Irene uwoya Amesema watu ambao wenye Imani potofu Kwa yeye ameokoka na kuwa mtumishi wa mungu na kutangaza urembo sio dhambi mungu ameshaeka Imani hiyo Kwa mwanamke kujiremba na haiepukiki maishani Msanii huyo Amesema  Amemrudia mungu wake Kwa kuokoka na kusema baadhi ya matendo yake yamebadilika […]

BURUDANI
May 29, 2024
418 views 2 mins 0

RAIS SAMIA KUWAPELEKA WASANII NA WAIGIZAJI ULAYA KWA AJILI YA KUJIFUNZA ZAIDI SANAA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Msanii wa Filamu Nchini, Steven Mengere ametoa shukrani za dhati kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.Samia Suluhu kwa kutambua Tasnia ya Filamu na kuja na ahadi ya kuwapeleka wasanii na waigizaji nchi za nje kwa ajili ya kujifunza Sanaa katika nyanja mbalimbali. Akizungumza katika Mkutano uliofanyika […]

BURUDANI
May 13, 2024
329 views 2 mins 0

KAMPUNI YA MERIDIAN BET KUJA NA PROMOSHENI YA TOBOA KIBINGWA

Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Meridianbet inayoongoza kubashiri leo wazindua promosheni mpya ya “Toboa kibingwa” kwa kushirikiana na kampuni ya simu za mkononi ya Airtel Money huku lengo kuwapa thamani wateja wao ambapo washindi wawili katika promosheni hiyo watapewa bajaji mpya. Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam mapema leo hii Meneja Mwandamizi […]

BURUDANI
May 02, 2024
882 views 26 secs 0

TAMTHILIA YA MAWIO, KONESHENI ZAJA KUONESHANA UWEZO NDANI YA SINEMA ZETU

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA KAMPUNI ya Azam Media LTD kupitia Chaneli 103 ya Sinema Zetu imetambulisha tamthilia mbili mpya Mawio na Koneksheni ambazo zitaanza kuonekana hivi karibuni. Akizungumza leo Mei 2, 2024 jijini Dra es Salaam kwenye hafla ya kutambulisha tamthilia hizo, Msimamizi Mkuu wa Chaneli ya Sinema Zetu Sophia Mgaza, amesema […]