BANK YA KILIMO TADB YAWEZESHA MAFUNZO YA MIKOPO KWA WATAALAMU WA KILIMO
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya maendeleo. ya kilimo (TADB) imetoa mafunzo ya mikopo kwa wataalamu wa kilimo nchini ikiwa na lengo Mahususi la kuweza kuhudumia watu mbalimbali Katika huduma za kilimo huku washiriki kutoka Burundi wameweza kushiriki Katika mafunzo hayo yaliyoandaliwa na Benki ya kilimo kwa kushirikiana na Benki mbalimbali nchini. […]