BIASHARA, MICHEZO
June 09, 2024
364 views 0 secs 0

DIAMOND PLATINUM KUMTAMBULISHA MSHINDI WA MILION 20 KUTOKA TABORA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wasafi Bet Wamtambulisha mshindi wa milioni 20 ambaye anayetokea Tabora Saidi Daudi pia amesindikiwa na washindi watano walioweza kujishindia simu janja ya SMART PHONE Saidi amejishindia pesa hizo Kwa bet ambayo aliyoweza kucheza na kubashiri na kuingia Katika droo hiyo na baadhi Yao walishinda shilingi 10000 Kwa kila […]

BIASHARA, BURUDANI
June 09, 2024
1055 views 45 secs 0

IRENE UWOYA ATOA SIRI YA MAFUTA YAKE KUWA YANA UPAKO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mrembo Msanii Irene uwoya Amesema watu ambao wenye Imani potofu Kwa yeye ameokoka na kuwa mtumishi wa mungu na kutangaza urembo sio dhambi mungu ameshaeka Imani hiyo Kwa mwanamke kujiremba na haiepukiki maishani Msanii huyo Amesemaย  Amemrudia mungu wake Kwa kuokoka na kusema baadhi ya matendo yake yamebadilika […]

BIASHARA
June 07, 2024
108 views 2 mins 0

WAFANYABIASHARA WATOA RAI KWA TRA WASHIRIKISHWE NJIA YA KUKUSANYA MAPATO NASI KUTUMIA NJIA ZA VISHOKA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA JUMUIYA ya wafanyabiashara wa Kariakoo jijini Dar es salaam, wametoa rai kwa Mamlaka ya Mapato Tanzania, TRA kutumia njia ya ushirikishaji katika kukusanya mapato, badala ya kutumia njia zisizofuata misingi ya kisheria ikiwemo vishoka. Akizungumza na Waandishi wa Habari mapema leo Juni 07/2024 Jijini Dar es salaam Mwenyekiti […]

BIASHARA, KITAIFA
May 29, 2024
264 views 2 mins 0

TRA AWATAKA WAANDISHI WA HABARI ZA MTANDAONI KUWAHAMASISHA WANANCHI KUTUMIA DESTURI YA KUDAI RISITI

Na Mwandishi wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Mamlaka ya Mapato Tanzania TRA imewaomba waandishi wa habari za Mtandaoni (digital online) kuhamasisha wananchi kuwa na desturi ya kudai risiti pale wanapofanya manunuzi ili kusaidia kuwapata wafanyabiashara wanaokwepa kulipa kodi. Rai hiyo ameitoa leo Jijini Dae es salaam Mei 29,2024 Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Mapato TRA Elimu […]

BIASHARA, KITAIFA
May 22, 2024
194 views 3 mins 0

WANANCHI KUJENGEWA KUJUA UMUHIMU WA KUTUMIA MAZIWA KATIKA WIKI YA MAZIWA

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Wizara ya Mifugo na Uvuvi Kupitia Bodi ya maziwa inaelekea Katika kuazimisha wiki ya Maziwa ambayo itakayofanyika Tarehe 1 Juni 2024 yenye kulenga utumiaji wa maziwa Kwa kila mwananchi na kupewa ufahamu wa jinsi ya utumiaji Kwa maziwa yote ambayo yaliyosindikwa na yasiyosindikwa. Msajili wa Bodi ya maziwa […]

BIASHARA
May 17, 2024
134 views 3 mins 0

ENEO LA URAFIKI TEXTILE LANUNULIWA NA SHIRIKA LA NYUMBA NHC

Na Mwandishi wetu Wamachinga Shirika la Nyumba la Taifa (NHC) limenunua rasmi eneo la Urafiki mapema mwaka huu, ikiwemo mali zote zilizokuwa chini ya Kampuni ya Urafiki wa Tanzania na China (Tanzania – China Friendship Textile CO LTD). Meneja wa Mawasiliano kwa Umma wa  Shirika la Nyumba la Taifa ameyasema hayo leo wakati wa ziara […]

BIASHARA, KITAIFA
May 10, 2024
495 views 3 mins 0

BANK YA TCB KUZINDUA VIKOBA VYA KIDIGITALI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA TANZANIA Commercial Bank BANK (TCB) imefanya mapinduzi yanayolenga Vikundi vya kuweka na kukopa yaani Vikoba ili kumwezesha wafanyabiashara wadogo wadogo kukopa Kidijitali ndani ya Kikoba kidigitali. Akizungumza wakati wa uzinduzi, huo leo Mei 09, 2024, jijini Dar es Salaam, Mkurugenzi Mtendaji wa TCB Benki, Adamu Mihayo amesema kuwa […]

BIASHARA
May 07, 2024
207 views 4 mins 0

WAMACHINGA KUPATIWA VIWANJA KUPITIA MAENDELEO BANK

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Benki ya Mandeleo Leo imesaini mkataba wa makubaliano ya pamoja Kati yake na shirikisho la umoja wa wamachinga wa Kariakoo (KAWASSO) utakaowawezesha wafanyabiashara hao kupata viwanja vya makazi sambamba na kupata mikopo kwa ajili ya Kujengea nyumba unaojulikana kama ‘Machinga Plot Finance’. Akizungumza na waandishi wa habari Leo […]

BIASHARA, KITAIFA
May 04, 2024
222 views 55 secs 0

RC MTAKA:UZURI WA BAJETI YA KILIMO NI SHANGWE KWA WAKULIMA WOTE NCHINI

JIJINI DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kufuatia Wizara ya Kilimo kutangaza katika kuendelea na mkakati wa kuendelea na zoezi za usambazaji wa mbolea ya ruzuku nchini katika mwaka 2024/2025, Mkuu wa mkoa wa Njombe, Mhe. Anthony Mtaka ameipongeza Wizara hiyo kwa hatua zake za madhubuti za kuhakikisha Wananchi wa Mkoa wa Njombe wanaendelea kupata mbolea ya […]