DC BOMBOKO AIPONGEZA TAASISI YA YEMCO KUSAIDIA VIKUNDI VYA VIKOBA
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa wilaya ya ubungo,Mh Hassan bomboko ameipongeza Taasisi ya Yemco kwa kusaidia vikundi vya vikoba vga akina mama mbalimbali nchini kufikia Malengo yao kiuchumi na KIJAMII. Akizungumza kwenye mkutano mkuu wa mwaka 8 wa Taasisi hiyo, uliofanyika Leo Oktoba 31 2024 jijini Dar es salaam na kuhudhuriwa na washiriki zaidi […]