BIASHARA
November 16, 2024
130 views 2 mins 0

NEEC KUANDAA KONGAMANO LA KUWAWEZESHA WANANCHI KIUCHUMI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Baraza la uwezeshaji wananchi kiuchumi NEEC  limeandaa kongamano la kuwawezasha wananchi kiuchumi ambalo litakalofanyika jijini dodoma disemba 3 na 4 Katika ukumbi wa eleki Ef Kongamano hilo linatarajiwa kuhudhuriwa na wadau mbalimbali na mgeni rasmi Katika kongamano hilo ni waziri mkuu wa Tanzania Mhe Kassim Majaliwa ambaye yeye […]

BIASHARA
November 16, 2024
355 views 13 secs 0

RAIS SAMIA KUTOA MAAGIZO KWA AJALI ILIYOTOKEA KARIAKOO

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA RAIS Samia Suluhu Hassan ameuagiza uongozi wa Mkoa wa Dar es Salaam ,Jeshi la Polisi,Jeshi la Zimamoto na Uokoaji,Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili pamoja na Idara ya Menejimenti ya Maafa kufanya kila linalowezekana kufanikisha zoezi la uokoaji na tiba kwa majeruhi wa ajali ya kuporomoka kwa jengo la ghorofa katika […]

BIASHARA
November 14, 2024
188 views 3 mins 0

MKUTANO WA KIMATAIFA WA MADINI: FURSA ZA UWEKEZAJI NA MAENDELEO YA KIUCHUMI TANZANIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkutano wa Kimataifa wa Uwekezaji katika Sekta ya Madini nchini Tanzania unatarajiwa kuwa jukwaa muhimu la kukuza uwekezaji, kubadilishana maarifa, na kuimarisha ushirikiano katika sekta ya madini. Mkutano huo ni wasita (6), utakaofanyika kuanzia tarehe 19 hadi 21 Novemba 2024 katika Kituo cha Kimataifa cha Mikutano cha Julius Nyerere (JNICC),ambapo Utafunguliwa […]

BIASHARA
November 13, 2024
113 views 4 mins 0

TFRA YAPOKEA MATOKEO YA UTAFITI KUHUSU UWEKEZAJI KATIKA VIWANDA VYA KUZALISHA MBOLEA KWA KUTUMIA MALIGHAFI ZINAZOPATIKANA NCHINI

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) imepokea taarifa ya matokeo ya awali ya utafiti kuhusu matumizi ya makaa ya mawe na gesi asilia katika uzalishaji wa mbolea hususan zenye kirutubisho cha naitrojeni kutoka Kituo cha Kimataifa cha Maendeleo ya Mbolea (IFDC) chenye makao makuu yake nchini Marekani.ย  Akizungumza mara baada […]

BIASHARA
November 11, 2024
101 views 4 mins 0

HUDUMA ZA TELEVISHENI KIDIGITALI ZAIDI KUIMARIKA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM UTANGAZAJI Tanzania umeendelea kuimarika na mawimbi ya televisheni kijitali kwa mfumo wa ardhini (DTT) sasa yanafikia asilimia 58 ya watu, taarifa ya hali ya mawasiliano nchini inaonesha. Taarifa ya robo mwaka ya Julai hadi Septemba iliyotolewa na Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) inasema mawimbi ya yanafika asilimia 33 […]

BIASHARA
November 06, 2024
361 views 36 secs 0

BEI ZA MAFUTA MWEZI NOVEMBA 2024 ZAENENDELEA KUSHUKA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DODOMA: Bei za reja reja za mafuta kwa mwezi Novemba 2024 zimeendelea kushuka. Bei ya petroli kwa Dar es Salaam na Tangaย  imeshuka kwa asilimia 2.26 ambayo ni sawa na shilingi 68 kwa lita, huku Mtwara ikiwa imepungua kwa asilimia 2.16, ikilinganishwa na bei za mafuta za mwezi Oktoba 2024. Aidha, […]

BIASHARA
November 06, 2024
108 views 57 secs 0

TRA,ZBS YAINGIA MAKUBALIANO KWENYE KURAHISISHA BIASHARA KATIKA FORODHA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mamlaka ya Mapato Nchini Tanzania( TRA) kwa kushirikiana na Shirika la viwango Zanzibar (SBZ) imesaini hati za makubaliano katika kwenda kurahisisha ufanyaji waย  biashara kwa pamoja. Hayo yamesemwa Jijini Dar e salaam na Kamishina Mkuu wa mamlaka ya mapato nchini Tanzania (TRA) Yusuph Mwenda amesema kuwa TRA inasimamia shughuli za forodha […]

BIASHARA
November 04, 2024
157 views 4 mins 0

ZRA YAKUSANYA BILIONI 76 OKTOBA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -ZANZIBAR MAMLAKA ya Mapato Zanzibar (ZRA), imeendelea kutikisa wimbi la Makusanyo kwa kuvuka lengo la ukusanyaji mapato katika kipindi cha Oktoba, mwaka huuย  kwa kukusanya jumla ya Shilingi bilioni 76.528 kati ya makisio ya kukusanya Shilingi bilioni 74.549 Akizungumza na waandishi wa habari jana Kaimu Kamishna Mkuu wa ZRA Said Ali […]

BIASHARA
November 04, 2024
165 views 3 mins 0

HUDUMA ZA POSTA ZAZIDI KUIMARIKA KIMATAIFA

Na MWANDISHI WETU -DAR ES SALAAM HUDUMA usafirishaji wa mizigo na vipeto kimataifa kupitia Shirika la Posta Tanzania inaongezeka licha ya kushuka kwa kiasi kikubwa kati ya mwaka 2019 na 2021, kwa mujibu wa uchambuzi wa taarifa ya hali ya mawasiliano kufikia Septemba mwaka huu. Taarifa ya robo mwaka ya Julai hadi Septemba 2024 iliyotolewa […]