WMA YAHIMIZA MATUMIZI YA MIZANI ILIYOHAKIKIWA KWA WAFANYABIASHARA WA GESI
Na Pendo Magambo – WMA, Dar es Salaam Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) imewataka wafanyabiashara wa gesi kutumia mizani iliyohakikiwa na WMA ili kujiridhisha na usahihi wa uzito wa mitungi ya gesi kabla ya kuiuza kwa wateja. Wito huo ulitolewa Septemba 3, 2024 jijini Dar es Salaam na Afisa Vipimo Yahya Tunda kutoka WMA Mkoa […]