BIASHARA
October 03, 2024
148 views 6 mins 0

ZRA YAVUNJA REKODI YA MAKUSANYO ZANZIBAR

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Yakusanya bilioni 76.497/- sawa na asilimia 103.31 ya makusanyo mapato yaliyotarajiwa ZANZIBAR MAMLAKA ya Mapato Zanzibar (ZRA), imevunja rekodi ya makusanyo ya kodi kwa Septemba mwaka huu kwa kukusaya kiasi cha Shilingi bilioni 76.497/- sawa na asilimia 103.31. Hatua hiyo imekuja baada ya kuvuka lengo kwa mwezi Septemba mwaka huu ZRA […]

BIASHARA
October 03, 2024
96 views 54 secs 0

“KODI HAINA HIARI,NI LAZIMA KWA KILA MTANZANIA”RC CHALAMILA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Mhe. Albert Chalamila, ametoa wito kwa wadau wote kuungana  kuhakikisha kila mlipa kodi analipia kodi inayostahili Ili kukuza uchumi wa nchi hususani Mkoa wa Dar es salaam. RC Chalamila ameyasema haya leo Oktoba 2 ,2024 wakati akifungua Kongamano la Kodi lililofanyika ukumbi wa Julius […]

BIASHARA
September 30, 2024
101 views 3 mins 0

TFRA YAWAVUTIA WAWEKEZAJI SEKTA YA MBOLEA KUTOKA OMAN

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA MUSCAT-Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA) ni miongoni mwa taasisi zilizoshiriki katika Kongamano la Kibiashara baina ya Tanzania na Oman lenye lengo la kuimarisha ushirikiano wa kibiashara na uchumi baina ya nchi hizo mbili. Kongamano hilo lililohusisha takribani watanzania 300 limefanyika leo Septemba 29, 2024 katika Hoteli ya Sheraton iliyopo […]

BIASHARA
September 26, 2024
433 views 2 mins 0

‘JIBOOST NA AIRTEL’ KUJA KWA KISHINDO ELFU 20 TU KUPATA SUPA BONASI

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Kampuni ya Mtandao wa  simu Airtel Tanzania leo imezindua promosheni mpya ya ‘JiBoost na Airtel Money’ ambayo i nawapa nafasi watumiaji wa Airtel Money kujipatia shilingi 20,000 taslim ya supa bonasi kupitia miamala ya kila siku watakayofanya. Aidha Mpango huo ni sehemu ya maono ya kampuni ya Airtel […]

BIASHARA
September 18, 2024
245 views 2 mins 0

RAS TABORA:MKOA WA TABORA TUMEPIGA VITA MAFUNDI UMEME VISHOKA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Katibu Tawala wa Mkoa wa Tabora, Dkt John Mboya, akifungua semina ya siku moja kwa mafundi umeme wa mkoa huo, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Tabora,Paul Matiko Chacha, leo 17 Septemba 2024,amewasihi  mafundi umeme wote mkoani humo kuhakikisha wanakuwa na leseni za ufungaji mifumo ya umeme zinazotolewa na Mamlaka […]

BIASHARA
September 12, 2024
175 views 4 mins 0

WAZIRI JAFO:WIZI WA KUCHEZEA VIPIMO NI KOSA KISHERIA

Na Mwandishi Wetu WMA MWANZA Waziri wa Viwanda na Biashara, Dkt. Selemani Jafo amehimiza wananchi jijini Mwanza kuzingatia matumizi sahihi ya vipimo kila mara wanapofanya manunuzi na kuuza bidhaa mbalimbali. Aliyasema hayo Septemba 11, 2024 wakati akifungua rasmi Maonesho ya 19 ya Biashara ya Afrika Mashariki yanayofanyika katika Uwanja wa Furahisha jijini Mwanza. “Wizi wa […]

BIASHARA
September 11, 2024
175 views 2 mins 0

MIGOGORO YA WAMACHINGA NA SERIKALI YAFIKIA KIKOMO

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Viongozi wa Shirikisho la  Umoja wa wafanya biashara ndogondogo (Machinga)kutoka katika Mikoa  20 ya Tanzania bara wamekutana leo 11Septemba mwaka huu  jijini Dar es Salaam ambapo wamekuwa na maazimio mbalimbali ya kuimarisha umoja wa shirikisho hilo. Akizungumza katika mkutano huo Uliofanyika JM Hotel Mwenyekiti wa Muda wa shirikisho […]

BIASHARA
September 11, 2024
231 views 2 mins 0

WMA YATOA MSAADA WA VIFAA VYA TEHAMA KWA JESHI LA POLISI

Na Mahamudu Jamal WMA Wakala wa Vipimo (WMA) imekabidhi msaada wa vifaa vya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano (TEHAMA) kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa kipolisi Ilala, Septemba 10, 2024 katika hafla iliyofanyika Makao Makuu ya Jeshi hilo Jijini Dar es Salaam. Akiongoza makabidhiano hayo kwa niaba ya Afisa Mtendaji Mkuu wa WMA, Meneja wa […]

BIASHARA
September 11, 2024
206 views 3 mins 0

PUMA ENERGY YAMUUNGA MKONO RAIS SAMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA -DAR ES SALAAM KATIKA kuunga mkono jitihada za Serikali ya Rais Dkt Samia Suluhu Hassan kwenye kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia, Kampuni ya Puma Energy Tanzania kupitia PumaGas imezindua kampeni ya Bei kama Mkaa tu faida kibao yenye lengo la kuwahimiza wananchi kupika kwa nshati ya gesi. Uzinduzi wa […]