TFRA Yaendelea Kukuza Sekta ya Mbolea kwa Ushirikiano na Wazalishaji Wadogo
Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA DAR ES SALAAM – Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Udhibiti wa Mbolea Tanzania (TFRA), Joel Laurent, ameongoza kikao muhimu na wazalishaji wadogo na wa kati wa mbolea nchini ili kujadili suala la utekelezaji wa takwa la sheria ya Mazingira la kufanya tathmini ya mazingira. Katika kikao hicho kilicholihusisha Baraza la Taifa […]