TIRA IMETAKIWA KUIMARISHA MATUMIZI YA TEKNOLOJIA NA UKUAJI WA TEKNOLOJIA HAPA NCHINI NA DUNIANI KWA UJUMLA
Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA Mamlaka ya Usimamizi wa Bima Tanzania (TIRA) imetakiwa kuimarisha matumizi ya teknolojia, na kuhakikisha kwa kiasi kikubwa inafanya shughuli zake kidigitali ili kwenda sambamba na kasi ya ukuaji wa teknolojia hapa nchini na Duniani kote kwa ujumla wake Maagizo hayo yametolewa na Naibu Waziri wa Fedha nchini Hamad […]