MALENGO YA RAIS SAMIA NI KUKIFANYA KILIMO KUWA NA TIJA ZAIDI
JIJINI DODOMA Wizara ya Kilimo imehitimisha bajeti yake kwa Mwaka wa Fedha 2024/2025 Bungeni jijini Dodoma kwa kishindo kikubwa. Bajeti hiyo ya zaidi ya shilingi Trilioni 1.24 inatajwa kubeba matumaini ya mamilioni ya wakulima na watanzania wote kwa ujumla Akiwasilisha bajeti hiyo, Waziri wa Kilimo, Mhe. Hussein Bashe (Mb) amesema malengo ya Serikali ya Awamu […]