BIASHARA
April 25, 2024
261 views 48 secs 0

MAAFISA UGANI 1000 KUTOKA MIKOA 7 MBALIMBALI WAPATA VISANDUKU VYA UGANI

MAAFISA UGKupitia Bajeti ya kilimo kwa Mwaka wa Fedha 2023/2024, Wizara ya Kilimo imefanikisha  ununuzi na usambazaji wa visanduku vya ugani 1000 kwa maafisa ugani Kilimo 1000 katika mikoa ya Mbeya, Songwe, Njombe, Iringa, Ruvuma, Rukwa na Katavi, sawa na asilimia 25 ya lengo. Kwa upande mwingine, tayari magari 46 na Pikipiki 550 kwaajili ya […]

BIASHARA
April 24, 2024
173 views 34 secs 0

PROF IKINGURA AONGOZA KIKAO CHA 18 BODI YA GST

Mwenyekiti wa Bodi ya Taasisi ya Jiolojia ya Utafiti wa Madini Tanzania (GST) Prof. Justinian Ikingura amekiongoza Kikao cha kawaida cha 18 cha Bodi hiyo kwa ajili ya kupitia taarifa ya utekelezaji wa Taasisi hiyo kwa kipindi cha Robo ya Tatu ya Mwaka wa  Fedha 2023/24. Bodi hiyo imefanya Kikao hicho leo Aprili 24, 2024 […]

BIASHARA
April 24, 2024
156 views 3 mins 0

WAZIRI MAVUNDE AWATAKA WATUMISHI GST KUCHAPA KAZI

GST kujenga Maabara ya Kisasa jijini Dodoma* GST ni Moyo wa Sekta ya Madini Kufanya Utafiti wa kina kufikia asilimia 50 Na Madina Mohammed DODOMA WAMACHINGA Waziri wa Madini Mhe.Anthony Mavunde amewataka Watumishi wa Taasisi ya Jiolojia na Utafiti wa Madini Tanzania (GST) kuchapa kazi kwa bidii  ili kutimiza Vision 2030 ambayo ndana yake kubwa […]

BIASHARA
April 24, 2024
192 views 3 mins 0

WAZIRI MAVUNDE AFUTA MAOMBI YA LESENI ZA MADINI 227

Awataka wadau kuzingatia matakwa ya Sheria wamiliki wa akaunti za uombaji na usimamizi wa leseni kwa njia ya mtandao ambao sio waaminifiu kusitishiwa akaunti zao Zoezi la ufutaji wa maombi na Leseni kuwa endelevu Amtaka kila mmoja kufuatilia hadhi ya maombi au Leseni zake Waziri wa Madini, *Mheshimiwa Anthony Mavunde* amebainisha kwamba Serikali kupitia Tume […]

BIASHARA
April 23, 2024
186 views 3 mins 0

WAWEKEZAJI WAHAMASISHWA KUWEKEZA TANGA

*Mkoa wa Tanga umebarikiwa kuwa na aina mbalimbali za madini* *Wafanya biashara waaswa kuzingatia Sheria za Madini* Wito umetolewa kwa Wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika fursa zilizopo kwenye Sekta ya Madini mkoani Tanga kutokana na uwepo wa aina mbalimbali za rasilimali madini mkoani humo. Wito huo umetolewa na Afisa Madini Mkazi […]

BIASHARA
April 19, 2024
306 views 13 secs 0

SKECHERS INAWATAKA WATANZANIA KUTUMIA VIATU MAALUM KUTIBU MAGONJWA YA MIGUU

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Kampuni ya viatu ya Skechers kwa kushirikiana na Madaktari bingwa wa magonjwa yasio ya kuambukiza hususani miguu imewataka Watanzania kutumia  viatu maalumu ambavyo vimetengenezwa kwa teknolojia  ambayo itaasaidia kutibu magonjwa mbalimbali ya miguu Akizungza leo Jijini Dar es salaam na Waandishi wa habari Daktari bingwa wa magonjwa yasio ya […]

BIASHARA
April 17, 2024
273 views 5 mins 0

BANK YA MAENDELEO YAZIDI KUKUA KATIKA UCHUMI KWA FAIDA YA ASILIMIA 66

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM Mambo Mengi  yameendelea kuonekana kwa benki ya ‘Maendeleo Bank Plc’ ambapo kwa mwaka 2023 matokeo ya kifedha yameonesha kukua kwa faida kwa asilimia 66 baada ya kodi na kufanya faida baada ya kodi kuongezeka hadi shilingi Bilioni 2.3 kutoka shilingi Bilioni 1.4 mwaka 2022 kutokana na uimarishwaji wa njia […]

BIASHARA
March 25, 2024
226 views 10 secs 0

MATINYI:THAMANI YA UWEKEZAJI WA TAASISI YAFIKIA ASILIMIA 8.6

Na mwandishi wetu DAR ES SALAAM: MKURUGENZI wa Idara ya Habari (Maelezo) na Msemaji Mkuu wa Serikali, Mobhare Matinyi amesema thamani ya uwekezaji katika taasisi zinazosimamiwa na Ofisi ya Msajili wa Hazina imeongezeka kutoka Sh trilioni 70 mwaka 2021 hadi kufikia Sh trilioni 76 mwaka 2023 ambayo ni sawa na ongezeko la asilimia 8.6. Akiwa […]

BIASHARA
March 22, 2024
248 views 2 mins 0

ZARI ALAMBA TENA SHAVU SOFTCARE

Na Mwandishi Wetu Kampuni ya Dowei Care Technology ambao ni wazalishaji wa Taulo za kike na za watoto (SOFTCARE) kesho wanatarajia kutoa msaada wa bidhaa zao katika hospital ya Taifa ya Muhimbuli katika kitengo cha huduma za mama mtoto lengo likiwa kuendelea kumsaidia mwanamke kujisitiri pindi anapokuwa kwenye siku zake za hedhi. Akizungumza leo Machi […]