BAJETI YA WIZARA YA KILIMO 2024/2025 KUWASILISHWA LEO
“Sekta ya Kilimo katika mwaka 2023 ilikua kwa asilimia 4.2 ikilinganishwa na ukuaji wa asilimia 3.3 mwaka 2022. Vilevile, Sekta ya Kilimo imechangia asilimia 26.5 katika Pato la Taifa ikilinganishwa na asilimia 26.2 mwaka 2022, imetoa ajira kwa wananchi kwa wastani wa asilimia 65.6 na kuchangia asilimia 65 ya malighafi za viwanda.” Mhe. Hussein Bashe […]