21 views 49 secs 0 comments

NAIBU WAZIRI MKUU DKT. BITEKO AHIMIZA KANISA KULIOMBEA TAIFA 

In KITAIFA
April 28, 2025

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema Serikali chini ya Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan inalojukumu la kuhakikisha uchaguzi Mkuu unafanyika kwa amani na haki.

“Wito wangu kwa kanisa ni kuendelea kuliombea Taifa liendelee kuwa na amani,” amesema na kuongeza kuwa atamtaatifu Mhe. Rais kuhusu ahadi ya maaskofu kuliombea taifa hili kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao.

Dkt. Biteko amesema hayo Aprili 27, 2025 Iringa Mjini alipomwakilisha Rais, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kuwa mgeni maalum katika sherehe ya kusimikwa na kuwekwa wakfu kwa Askofu wa Jimbo la Iringa, Mhashamu Romanus Mihali.

/ Published posts: 1972

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram