21 views 38 secs 0 comments

DKT. BITEKO AWASILI MKOANI IRINGA

In KITAIFA
April 26, 2025



Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto Biteko leo Aprili 26, amewasili mkoani Iringa kwa ziara ya kikazi ya siku moja.

Katika Uwanja wa Ndege wa Nduli, Dkt. Biteko amepokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa Iringa Mhe.  Peter Serukamba

Akiwa mkoani humo anatarajiwa kumwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Sherehe za kuwekwa wakfu Askofu Mteule Romanus Elamu Mihali kuwa Askofu wa Jimbo la Kitume la Iringa.

/ Published posts: 1968

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram