23 views 45 secs 0 comments

TTB YAPELEKA TUZO ZA UBORA KATIKA PAA LA AFRIKA

In KITAIFA
December 05, 2024

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Katika kuadhimisha kumbukumbu ya Miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika, Bodi ya Utalii Tanzania – TTB kupitia Kampeni ya “TWENZETU KILELENI” inapeleka Tuzo za ubora katika paa la Afrika, Tuzo zilizotolewa na World Travel Award, TTB imeshinda kama Bodi Bora Barani Afrika kwa miaka mitatu mfululizo (2022,2023 na 2024),

zoezi hili linachangizwa Wafanyakazi wa TTB wakiwemo akina Mama waliojitoa kwa dhati ili kuendelea kuunga mkono jitihada za mwongoza watalii nambari moja Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kinara wa mafanikio ya Utalii Tanzania.

/ Published posts: 1588

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram