Home > KITAIFA 137 views 14 secs 0 comments RAIS SAMIA AONGOZA KIKAO CHA BARAZA LA MAWAZIRI In KITAIFA October 10, 2024 Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, akiongoza Kikao cha Baraza la Mawaziri kilichofanyika Ikulu Chamwino mkoani Dodoma tarehe 10 Oktoba, 2024.