Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA
Kamati za Usalama, Viongozi wa Chama na Serikali, Wenyeviti mitaa/Vijiji na Madiwani wa Wilaya ya Kisarawe na Ubungo Leo Wamekutana kutatua Kero na Changamoto ya MIPAKA katika Maeneo ya MLOGANZILA NA KISOPWA – KINGANZI B
Kikao kazi Kimeazimia Kufanyika kwa Mkutano wa Hadhara katika eneo lenye mgogoro ili kutoa elimu kwa umma na Kumaliza Changamoto ya Mgogoro wa Aridhi baina ya wananchi wa kisarawe na Ubungo
Kikao kilongozwa na Wakuu wa Wilaya ya Kisarawe na Ubungo