Kiongozi wa Tagco Akiwa na mmoja wa wafanyakazi kutoka TMDA akisaini Daftari la mahudhurio alipotembelea Banda hilo la TMDA viwanja vya sabasaba Viongozi wa Tagco wakiwa na wafanyakazi wa TMDA wakati wakitembelea Banda la TMDA Katika viwanja vya sabasaba Kiongozi wa Tagco Akiwa na Mkuu wa kitengo Cha habari gradeusia Mawiza akipata ripoti maalum ya mamlaka hiyo Viongozi wa Tagco wakiwa na wafanyakazi wa TMDA wakati wakitembelea Banda la TMDA Katika viwanja vya sabasaba