Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA
Wasafi Bet Wamtambulisha mshindi wa milioni 20 ambaye anayetokea Tabora Saidi Daudi pia amesindikiwa na washindi watano walioweza kujishindia simu janja ya SMART PHONE
Saidi amejishindia pesa hizo Kwa bet ambayo aliyoweza kucheza na kubashiri na kuingia Katika droo hiyo na baadhi Yao walishinda shilingi 10000 Kwa kila siku Kwa washiriki 200 na washiriki 10 Kwa kila wiki walishinda zawadi ya shilingi laki 2
Aidha Wasafi bet pia wametambulisha promosheni mbalimbali ambazo wamekuwa nazo lakini kubwa Zaidi ni promosheni Mpya ya “MAOKOTO YA EPL”
Pia Diamond platinum ameitambulisha kampeni mpya ya jipate na EURO au ZAWADI ZA WASAFI NA EURO ambayo watakuwa wanatoa smart Tv, pikipiki,na Simu Kwa kila wiki na pia zawadi zitakuwa zinabadilika Kwa kila wiki