Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA
Mrembo Msanii Irene uwoya Amesema watu ambao wenye Imani potofu Kwa yeye ameokoka na kuwa mtumishi wa mungu na kutangaza urembo sio dhambi mungu ameshaeka Imani hiyo Kwa mwanamke kujiremba na haiepukiki maishani
Msanii huyo Amesema Amemrudia mungu wake Kwa kuokoka na kusema baadhi ya matendo yake yamebadilika na kumrudia mungu Zaidi Kwa kufanya matendo Yaliyo mema.
Irene uwoya Amesema Imani ipo ndani ya mtu Kwa kufanya kitu chochote kwani yeye na mungu ndo wanawasiliana hawezi kuwa na mtu wa pembeni kwani Imani yake ndo inamtuma hivyo.
“Urembo sio dhambi mungu ameshaeka ndani yake mwanamke kujiremba ni sehemu ya mwanamke Katika maisha na haiepukiki hata zamani watu walikuwa wanajipamba na kujiremba kitu kizuri mwanamke kujiweka vile uvyojiweza na mwanamke unahitajika ung’ae kweli kweli uwe na mungu ndani yake
Irene uwoya Pia ameitambulisha Bidhaa yake tena ya Losheni ambayo inayoitwa RENEE PRODUCT Kwa mda mrefu haikuwa Katika soko na kuamua kurudisha tena Bidhaa hiyo Sokoni Kwa waitaji wa watu na haiaribu ngozi
Uwoya Amesema Losheni zake zinaubora wa hali ya juu na kujiuza wenyewe na watu ambao wanaweza kuzitengeneza feki hawawezi kuzitengeneza Kwa sababu ya matilio yake
Aidha Amesema bidhaa hizo zinaupako ndani yake ameyaombea Kwa mtu anaeyatumia haya mafuta hang’ai kabisa ila anapata na kibali