322 views 18 secs 0 comments

WAZIRI KASSIM MAJALIWA AKUTANA NA MWANA MFALME WA HOSPITAL YA AGA KHAN BI ZAHRA

In KITAIFA
May 03, 2024

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa leo Mei 3, 2024  amekutana  na Mwenyekiti  wa Kamati Tendaji  ya Taasisi ya Huduma za Aga Khan, Mwana wa Mfalme Bi. Zahra Aga Khan na ujumbe wake, ofisini kwa Waziri Mkuu, Mlimwa jijini Dodoma.

Mheshimiwa Waziri Mkuu amemwambia Kiongozi huyo kuwa Serikali inatambua jitihada kubwa zinazofanywa na Taasisi hiyo hasa katika sekta ya Afya na Elimu na amemuahidi kuwa Serikali itaendelea kuunga mkono juhudi  za uwekezaji zinazofanywa na Taasisi ya hiyo

/ Published posts: 1488

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram