153 views 14 secs 0 comments

Mapokezi ya Jokate alipowasili ofisi za CCM Lumumba Dar

In KITAIFA
October 04, 2023
Katibu mkuu wa umoja wa wanawake Jokate Urban Mwegelo akiwasili Katika Ofisi ndogo za chama Cha mapinduzi ccm
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Jokate Urban Mwegelo akiwasili katika Ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) kuchukua barua ya uteuzi wa nafati ya Katibu Mkuu UWT leo Oktoba 04, 2023 jijini Dar es Salaam.
Wema Sepetu ( kwanza kushoto) na Lulu Diva katikati wakicheza katika hafla za mapokezi ya Katibu wa (UWT) Jokate Mwegelo aliyefika kuchukua barua ya uteuzi katika ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) jijin Dar es Salaam leo Oktoba 04, 2023

Mbunge wa Viti Maalumu Neema Lugangila katika hafla ndogo ya mapokezi ya Katibu Mkuu wa (UWT) Jokate Mwegelo
Katibu Mkuu wa Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT)Jokate Urban Mwegelo akisalimiana na wakinamama alipowasili katika Ofisi ndogo za Chama Cha Mapinduzi (CCM) Kuchukua barua ya uteuzi katika ofisi ndogo za CCM leo Oktoba 04, 2023 Jijin Dar es Salaam

Madina Mohammed

/ Published posts: 1215

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram