Nchi ya Tanzania na nchi ya Malawi yaingia makubaliano wa miaka miwili Katika na ushirikiano Katika sekta ya nishati
Makubaliano hayo ya understand kati ya lastcop na shirika la umeme la Malawi
Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es salaam Katika ukumbi wa hayyat regency Leo ijumaa 11 mwezi august 2023 waziri wa nishati January makamba amesema kuwa makubaliano yetu ni sehemu ya ushirikiano wetu Katika sekta ya nishati ambayo yanayohusu maendeleo makubwa na yapo mambo matatu
“mambo hayo ni kuzalisha umeme Kwa pamoja ambao ni mradi wa kuzalisha umeme Kwa nguvu ya maji Katika mto songwe ambao ni mto uliopo pande zote mbili Katika nchi zetu ambao Wenye mega wati 300”.
“Tumeamua kufanya mradi huu Kwa pamoja vilevile ushirikiano Katika mradi wa utafutaji miji Katika uchimbaji na gesi na mafuta na ushirikiano kati ya nchi hizi mbili Kwenye eneo la ujenzi miundombinu la umeme kati ya nchi hizi mbili”. Amesema waziri Makamba
Hata hivyo amesema makubaliano hayo yameingia ushirikiano kati ya kamati ya pamoja ya mawakili wawili kutoka nchi hizo mbili na pia na kamati ya wataalam ambao wanafatilia maendeleo yetu ya Utekelezaji wa makubaliano hayo
“Tumekubaliana kila upande tutateuwa wataalam ndani ya mwezi 1 na kikao rasmi kitafanyika mwezi wa kumi,tunayafanya haya Katika kuona umuhimu wa huu utendaji wa mradi wa nishati”. ameongeza waziri Makamba
Aidha Waziri Makamba amesema kutokana na maelekezo ya viongozi wetu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Rais Samia Suluhu Hassan na Rais wa Jamhuri ya Malawi Aekanda Rais Samia baada ya kufanya ziara na kutembelea Katika nchi hiyo ya Malawi amesema kuwa tuongeze,tuimarishe,tudumishe na tuongeze maeneo ya ushirikiano hasa Katika eneo hili la nishati
Mradi wa Ujenzi wa miundombinu kati ya nchi hizi mbili interconnect kuunganisha nchi hizo mbili ambazo ni sehemu ya mradi mkubwa na. Kuwa na Dili Moja Katika eneo la kusini mwa Afrika na Tanzania mpaka Sasa inamiradi kadhaa ya kuunganisha nchi zetu kwenda Katika nchi nyingine na tumashamaliza manunuzi kwenye ujenzi wa kuunganisha Katika miji ya Tanzania kwenda Katika miji ya Tanzania kwenda Katika miji ya Zambia na imeshaenda mpaka nchi ya kusini mwa Afrika
“Tunaamini kabisa kwamba miradi hii itaunganisha nchi 2000 Katika kuunganisha umeme,Bado ni matarajio makubwa Katika uzalishaji maji pia vile huduma Kwa jamii na mkataba huu ni Moja ya ushirikiano wa kuunganisha nchi hizi mbili na kupata maendeleo Kwa haraka Zaidi”. Akifafanua waziri Makamba
Madina Mohammed