268 views 4 secs 0 comments

JKCI YATOA MWELEKEO WA UTEKELEZAJI WA MWAKA WA FEDHA MWAKA 2023/24

In KITAIFA
July 19, 2023

Taaasisi ya jakaya kikwete jkic inayotoa huduma ya tiba ya moyo na upasuaji imetoa mwelekeo wa utekelezaji wa mwaka wa fedha 2023/2024

Akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar salama mkurugenzi mtendaji wa taasisi hiyo Dkt Peter kisenge alisema kutokana na shughuli mblimbali zinazofanywa na jkic serikali imeunga mkono ili kupunguza magonjwa ya moyo

Baadhi ya mikoa taasisi yetu imekwenda kutoa huduma za moyo ikiwemo Mtwara, Lindi, Geita Arusha na kadhalika hivyo inaenda kurasimisha huduma za upasuaji wa moyo.

Ametoa pongezi kwa Rais wa jamhuri wa muungano wa Ta nzania Dkt Samia suluhu hasani kwa kutoa fedha bilioni 66 kwa ajili ya taasisi hiyo

Lakini pia Amewataka wananchi nchini kufanya mazoezi na kutotumia baadhi ya vitu vikiwemo matumizi ya sukari kwa wingi, uvutaji wa sigara na waweze kujiunga na bima ya afya

/ Published posts: 1215

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram