135 views 3 mins 0 comments

DC mpogolo atatua changamoto za wamachinga karume

In KITAIFA
June 24, 2023

Mkuu wa wilaya ya Ilala Edward mpogolo leo ijumaa ya tarehe 23 juni 2023 amewatembelea wafanyabiashara WA soko la karume la mchikichini lililopo Jijini Dar es salaam kutatua changamoto za wafanyabiashara

Mkuu wa wilaya amesema Kuna vizimba Zaidi ya 2400 kungekuwa hakuna vizimba hivyo ingekuwa watu 2400 hawana kazi nawapongeza nyie watu 2400 mumeajiri na hampo pekeenu mupo pamoja na wanaowasaidia Katika biasharazenu

Aidha amewapa pole wale wafanyabiashara ambao waliopata ajali ya moto Kwa soko hilo kuungua mpogolo amesema kila jambo Lina kheri yake wapo wale wanaopata ajali ya moto wanapona ila Kuna wale wanaopata ajali ya moto na kufa hapo hapo mfano mama WA geita aliekufa na watoto wake waliofaliki Kwa ajali ya moto wote

“Kwa niaba ya serikali kuendelea kuwapa pole sana na Imani yetu na Imani yangu Wenye mikopo na Wenye biashara wamekuwa ndicho walichokuwa nacho ndio wamekuwa nacho mara 2 Zaidi lakini Kwa sababu ya moto upo hapa ulipo Leo lakini huwezi kujua kwanini umewataka kuwa hapo ulipo Leo na kwanini nafsi yako Bado ipo na uhai wako Bado upo Kwa hiyo tunasababu ya kila kumshukuru mungu wetu ambao anaendelea kutupatia”.Alisema mpogolo

Hata hivyo amewapongeza wafanyabiashara ambao wanazifanya na kusema kuwa wafanyabiashara wanavizimba Zaidi ya 2400 na ambao watu hao wapo 2400 wangekuwa hawana kazi na hao watu 2400 wamejiajiri na kati ya hapo wapo na wanaowasaidia na kila Banda wako na watu 4 WA kuwasaidia kati ya soko hilo linawachukua watu elfu kumi na watu hao elfu kumi wangekuwa hawana kazi kungekuwa na mfumuko WA vibaka Katika mitaa yetu.

Aidha amesema Kwa niaba ya serikali tunawasbukuru tunaendana kumuunga mkono Mhe.Rais Samia kwakila mtu kuweza kujitegemea na ndomana Mhe.Rais ametutaka sisi viongozi WA serikali kuwa karibu na wafanyabiashara sio ombi ni lazima Kwa idadi ya watu WA Dar es salaam na watu WA Ilala biashara kubwa tunayoishi nayo ni biashara yetu wenyewe.

Pia amewapongeza na kuwashukuru wafanyabiashara na viongozi kuwa na ushirika na kuwa na umoja mungekuwa munatofautiana mungekuwa ngumu Kwa kwenu nyie kumuita mkuu wa wilaya akaja hapa akafika umoja wenu ndio nguvu yenu na nguvu yenu ndio iliyosababisha pale mulipopata ajali ya moto mukaomba kurudi na mukarudi Kwa haraka kwasababu mulikuwa na uongozi na mungekuwa hamna uongozi au ushirikiano mungepata shida.

/ Published posts: 1486

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram