107 views 27 secs 0 comments

RAIS SAMIA, RAIS MUSEVEN WA UGANDA WAZINDUA MRADI WA KUFUA UMEME

In KITAIFA
May 26, 2023

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akivuta kamba pamoja na Rais
wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni kuashiria uzinduzi wa Mradi wa Umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023. Mradi huo wa umeme utanufaisha nchi zote mbili katika masuala ya Nishati ya umeme.

\"\"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni mara baada ya kuwasili katika Mradi wa Umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.

\"\"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Rais wa Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakati alipotembelea mradi wa kufua umeme wa Kikagati –
Murongo (Megawatt 16), Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.

\"\"

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa na Rais wa
Uganda Mhe. Yoweri Kaguta Museveni wakati wakisikiliza maelezo ya mradi wa kufua umeme wa Kikagati – Murongo, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.

\"\"

Eneo la mradi wa kufua umeme wa Kikagati – Murongo pamoja na Mitambo kama
linavyoonekana pichani, Mbarara nchini Uganda tarehe 25 Mei, 2023.

\"\"
\"\"
\"\"
\"\"