15 views 24 secs 0 comments

DKT. BITEKO AKIWASILI KWENYE MAADHIMISHO MIAKA 61 YA MUUNGANO – MKOANI ARUSHA

In Uncategorized
April 26, 2025

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Mashaka Biteko akiwasili katika viwanja vya Kilombero Jijini Arusha kushiriki maadhimisho ya miaka 61 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar leo 26 Aprili, 2025.

Kaulimbiu ya maadhimisho hayo ni “Muungano wetu ni Dhamana, Heshima na Tunu, Shiriki Uchaguzi.”

/ Published posts: 1962

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram