
Wageni mbalimbali ambao wameshiriki Kikao kazi cha Maafisa Utamaduni na Maafisa Maendeleo ya Michezo Tanzania wakisikiliza mada kuhusu mmong’onyoko wa maadili katika Kikao kazi cha 15 kinachofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere jijini Dar es Salaam leo Aprili 22, 2025.














