27 views 2 mins 0 comments

TMDA KUNUFAIKA MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA KATIKA HUDUMA YA AFYA

In MAKALA
March 19, 2025

Na Madina Mohammed DAR ES SALAAM WAMACHINGA

Mamlaka ya dawa na tiba asilia TMDA yamtakia MHE RAIS SAMIA Kwa kufikisha miaka minne Katika kutumikia nchi ya Tanzania Kwa miaka  hiyo aliyokuwa madarajani na kufanya mapinduzi Katika maswala ya Afya

TMDA imesema Mhe Rais ameyafanya makubwa Kwa kujua huduma za wananchi wake Kwa Kupitia wizara ya afya wanampongeza Kwa utendaji wake imara Kwa miaka minne hiyo

Usajili wa Viwanda 18 vya dawa,140 vya vifaa vya tiba na vitendanishi na hivyo kuchangia Katika Uwekezaji

Kusajili Zaidi ya bidhaa 8,303 za dawa na 3,019 za vifaa vya tiba na vitendanishi baada ya kujirishisha na ubora,usalama na ufanisi wake

Kuongeza Bajeti kulikowezesha utoaji huduma Kwa ufanisi na kutoa gawio Kwa serikali kiasi Cha Tsh Bilioni 23.3

Uwekezaji wa Bilioni 15 Katika ununuzi wa vifaa vya kisasa vya maabara Ili kuwezesha kufanya maamuzi ya kisayansi

Matumizi ya mifumo ya kieletroniki Katika huduma za utoaji vibali Ambapo Sasa vinatolewa ndani ya saa 24

Kuendelea kushikilia cheti Cha ithibati Cha ISO 9001:2015 na ithibati ya maabara Kwa kiwango Cha ISO/IES 17025:2017 Katika utoaji huduma Bora, Aidha maabara ya TMDA inatambuliwa na shirika la Afya Duniani

Asilimia 98% ya bidhaa kukidhi vigezo vya ubora na ufanisi na hivyo kuhakikisha usalama wa bidhaa za dawa na vifaa Tiba Katika soko

Ongezeko la vituo vya maabara hamishika kutoka 19 Hadi 28 Ili kuimarisha zoezi la uchunguzi na sampuli

Kukamilika Kwa ujenzi wa miundombinu ya tanuru la kuteketeza bidhaa zisizofaa Nala mkoani Dodoma Ili kuhakikisha bidhaa Katika soko ni zile tu zenye.ubora,usalama na ufanisi

Ongezeko la wafanyakazi kutoka 278 Hadi 421 na hivyo kuongeza fursa za ajira nchini

Ongezeko la vituo vya ufatiliaji wa maudhi ya dawa na chanjo Hadi kufikia 30 Ili kuimarisha ufuatiliaji wa usalama wa dawa na chanjo nchini

Upanuzi wa ofisi Kwa kuongeza sakafu 3 Kwenye jengo la ofisi ya makao.makuu Dodoma

/ Published posts: 1886

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram