Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Hangi Chang’a akizungumza na baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti na watumishi wa Ofisi hiyo wakati akifungua Mafunzo kuhusu Matumizi ya Mfumo wa e- Mrejesho yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Hangi Chang’a akiwa kwenye picha ya pamoja na kamati ya maandalizi ya mafunzo kuhusu Mwongozo wa ushughulikiaji wa mrejesho wa shughuli zinazotolewa na Serikali baada ya kufungua mafunzo hayo yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.Afisa Utumishi Mwandamizi wa Ofisi ya Rais Utumishi Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Bi. Mwadawa Nchemwa akitoa ufafanuzi kuhusu majukumu ya Wakuu wa Idara na Vitengo katika Mfumo wa e- Mrejesho kwa Menejimenti ya Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa kikao kilichofanyika Kibaha mkoani Pwani.Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndigu Hangi Chang’a akiwa kwenye picha ya pamoja na wakufunzi na watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali baada ya kufungua mafunzo hayo kwa niaba ya Naibu Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Alice Mtulo yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.Afisa Utumishi Mwandamizi wa Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ndugu Hassan Kilenza akitoa mada kuhusu Mwongozo wa ushughulikiaji wa mrejesho kwa wajumbe wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakati wa mafunzo ya Mwongozo huo yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Hangi Chang’a akichangia mada kuhusu Mwongozo wa ushughulikiaji wa mrejesho na shughuli zinazotolewa na Serikali wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.Baadhi ya Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakichangia mada kuhusu majukumu ya Wakuu wa Idara na Vitengo katika Mfumo wa e- Mrejesho wakati wa mafunzo hayo yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.Baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti na Watumishi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali wakimsikiliza Afisa Utumishi wa Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, ndugu Hassan Kilenza (hayupo pichani) akitoa mada kuhusu Mwongozo wa ushughulikiaji wa mrejesho wakati wa mafunzo kuhusu Mwongozo huo yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.Mkurugenzi wa Idara ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali Watu wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, Bi. Asha Hayeshi akitoa neno la utangulizi kwa baadhi ya Wajumbe wa Menejimenti ya ofisi hiyo wakati wa Mafunzo kuhusu Matumizi ya Mfumo wa e- Mrejesho yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.Mkurugenzi Msaidizi Sehemu ya Katiba, Haki za Binadamu na Uchaguzi wa Ofisi ya Wakili Mkuu wa Serikali, ndugu Hangi Chang’a akiwa kwenye picha ya pamoja na Wajumbe wa Menejimenti wa Ofisi hiyo baada ya kufungua mafunzo kuhusu Mfumo wa e-Mrejesho yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani.