31 views 29 secs 0 comments

MIAKA MINNE YA RAIS SAMIA KWA UFANISI MKUBWA WA ONGEZEKO LA MIKOPO KWA WANAFUNZI

In KITAIFA
March 19, 2025

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA

Mheshimiwa Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan tunakupongeza kwa kutimiza miaka minne madarakani kwa ufanisi mkubwa katika eneo la mikopo ya wanafunzi.

Kazi Iendelee

Ongezeko la fedha za kujikimu Kwa siku kutoka Tzs 8500/= Hadi Tzs 10000/=

Makusanyo ya mkopo iliyoiva (Machi 2021-Februariย  2025) Tzs 650.25 Bilioni

Kuanzishwa Kwa Samia Scholarship 2022/2023 imenufaisha wanafunzi 3,696

Kuanzishwa Kwa mikopo ya stashahada 2023/2024 imenufaisha wanafunzi 9.959

/ Published posts: 1883

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram