24 views 52 secs 0 comments

NISHATI SAFI YARAHISISHA ZOEZI LA UCHOMAJI NYAMA

In KITAIFA
March 07, 2025

Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA



Wafanyabishara wa nyama choma Jijini Arusha wamesema kuwa  uchomaji nyama kwa kutumia majiko ya Nishati Safi ya kupikia kumerahisisha zoezi la uchomaji na kuongeza ladha ya nyama.

Wamesema kuwa majiko  hao yamekuwa yakichoma kiasi kikubwa cha nyama kwa Muda Mfupi tofauti na awali walipokuwa wakitumia majiko mengine.

Wamesema pamoja na Gesi katika kuwezesha kuharakisha shughuli ya uchomaji nyama kwa haraka pia majiko ya kutumia Nishati mbadala yamekuwa mkombizi kwako katika kufanikisha kazi zao.

Maadhimisho ya siku ya Wanawake Kitaifa yanafanyika Jijini Arusha ambapo imepambwa na Nyama Choma kwa kutumia Nishati safi ya Kupikia ikiwemo Nishati Mbadala na Gesi.

/ Published posts: 1801

Ukurusa rasmi wa gazeti la Wamachinga. #sautiyawanyonge

Twitter
Youtube
Instagram