Na Mwandishi Wetu WAMACHINGA
TAARIFA: EWURA inatangaza Bei Kikomo za bidhaa za mafuta ya petroli zitakazotumika hapa nchini kuanzia Jumatano ya tarehe 5 Februari, 2025, saa 6:01 usiku.
Wafanyabiashara wa rejareja na jumla wanatakiwa kuuza mafuta kwa bei zilizoidhinishwa na EWURA pekee na yeyote atakayekiuka AGIZO hili atachukuliwa hatua kali kwa mujibu wa sheria.