Wasanii wa Bongo Flavor Soggy Doggy Hunter na Ruby wakitoa burudani katika hafla ya kutangaza mafanikio katika sekta ya utalii kupitia kampeni maalum ijulikanayo kama T506 usd inayofanyika jijini Dar es salaam, tarehe 31 Januari, 2025 ambapo mgeni rasmi ni Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana (Mb)